Kutoka Dodoma: Mgana Msindai atangaza kurejea rasmi CCM

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
"Naomba msamaha kwa viongozi wote kama nilikwaza huko nilikokwenda nilikua kama nipo magereza",Hayo ni maneno ya Mgana Msindai huko dodoma

Auponda upinzani. Adai Magufuli ameikamata nchi kisawasawa.

Msindai: Ninaomba msamaha kwa wanachama wote wa CCM walionikwaza na mimi nimwewasemehe, nilipokwenda ni kama mahabusu.

Msindai: Kona zote kashika Magufuli, Anatupeleka mahala tunapostahili na nawaomba wanaCCM wenzangu tuwe na Rais wetu.

Msindai: Magufuli akishakua mwenyekiti, aingie na kwenye chama kwani kina rasilimali nyingi ili tufike salama.

Msindai: Rais wetu, sisi tunang'atuka, nampongeza kwa kuchagua vijana. Nikaona aibu, nikasema nitarudi CCM kwa baba na mama.
 
Leo kwenye kukabidhiana uongozi ccm: siasa za bongo zimenifurahisha sana na nimeamini kumbe wanasiasa wooote tanzania ni fuata kula (chumia tumbo) sitamwamini mtu sasa hivi: nipisheni!!
Kazi aliyotumwa na ccm amemaliza huyo msindai,amerudi
 
Wakati wa uchaguzi mwaka jana, tulipiga kellele sana style walio kuwa wnawapokea wana Ccm kujiunga na Chadema.

Tulishauri wachunguzwe kwanza na nafasi wapewe wanalio kipigania chama.
Vuguvugu halikuwapa nafasi viongozi wa Chadema kufikiria hizi hoja.

Sasa inaonekana wapenda madaraka wanarudi Ccm.

Iwe fundisho kipindi kijacho.
 
Leo kwenye kukabidhiana uongozi ccm: siasa za bongo zimenifurahisha sana na nimeamini kumbe wanasiasa wooote tanzania ni fuata kula (chumia tumbo) sitamwamini mtu sasa hivi: nipisheni!!
Siasa ni Ujinga tu ndugu....
halafu hawa wanasiasa wanatufanya mazuzu sana...

mpaka inakera..
 
Hakuna cha ajabu hapo ...haya mliongea sana kuhusu mnyika kujiunga ccm je yupo hapo chimwaga? Au ndo ilikuwa polojo za elizabon ili mkuno uende kinywani? teh teh teh maana Elizabon hana utofauti na msindai
 
Hivi Mgana Msindai alikuwa mwanachama wa Chama gani kabla ya kurudi tena CCM? Hivi ni kweli chama kimojawapo kati ya vile vya UKAWA kiliwahi kumkabidhi kadi? Njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom