Kutoka damu kwenye maziwa ya mwanamke

Bin Chuma75

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
990
1,040
Habari viongozi, kama kichwa hapo juu, nini inaweza kuwa sababu kutoka damu kwenye maziwa(chuchu) za mwanamke wakati wa kuyanyonya?

NB: hayana vidonda kwa nje, na damu inatokea ndani, na ni damu nzito.

Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Invisible girls jana tu nilikuwa nasoma hichi kitabu,mwandishi(Sarah) alikuwa anatoka damu kwenye matiti alipoenda kupima alikutwa na cancer ya matiti! Na ilikuwa imeshafika stage mbaya hivyo walimkata matiti yote! Sikutishi mkuu bali fanya hima huyo kiumbe aende hospital matatizo yapo mengi na tuwasihi wanawake wafanye hivyo
 
Ahsante kiongozi

Upo sahihi mkuu, hiyo sio dalili nzuri aisee kabisa amuwahishe hospitali haraka
 
Back
Top Bottom