Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

Pascal Mayalla,
May be nipo nje ya mada, hivi ccm mle Bungeni ina wabunge wangapi kiasi cha rais kurudia wale wale wale aliowatumbua before? Au wengi wao ni vilaza wenye akili za kukonga meza na kuomba ndiyooo!!!!
 
Initially nilimpa benefit of doubt Mh Rais kwamba angeweza kufanya makubwa ili kubadilisha mifumo mibovu serikalini....na nikiri wazi I VOTED for him.

But trend ya mambo yalivyoanza kwenda na hasa alivyolihandle suala la Corona niseme wazi I personally nimemalizana nae kabisa and I will Never Vote for him....najua haisaidii kwani lazima ataendelea kuwa Rais..
Hivyo sitakaa hata siku moja kumsikiliza tena.

Have a blessed Sunday

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kuapishana sasa hivi si ni hatari ? Huyu mbunge ametembea sehemu ngapi na amekutana na wangapi na tunajuaje kama jana tu au sekunde nne kutokea sasa hajakutana na mwenye huu ugonjwa ?

Nadhani hatuchukulii hili janga userious unaotakiwa...
Kama amevipeleka huko mbona ataibuka shujaa wa taifa
 
Hapa rais Magufuli anazungumzia controversies za laboratory ya kupima Corona, akakuta maajabu.
P
 
Huu uteuzi umefanyika haraka sana,mpaka unatia shaka au marehemu katangulizwa nini?
 
Back
Top Bottom