Nyangumi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2007
- 507
- 17
Hakuna sababu yeyote inayoweza halalisha kumpeleka Gavana katika kikao chochote cha chama chochote.Huu ni uhuni usio na akili. Sina tatizo kama Ndulu atakuwa anakwenda Butiama kwa kuwa ni mwana NEC.Ni vizuri CCM wakajifunza kutofautisha mambo ya Serikali na Chama hata kama wao ndo chama tawala.Hawana uhalali wa kumhoji Ndulu kama Gavana wala Meghji kama waziri wa fedha.