wakati mwingine tunapochagua viongozi tuwe tunaangalia na sura jamani!!!!
Mwanakijiji: ni makosa kusema JF ilikuwa inasubiri makuu kutoka Butiama. Wengine hapa tulishakataa mapema kuwa mateka wa CCM na tulisema wazi kwamba hakuna chochote cha maana kitakachotoka Butiama. Ni wajumbe wachache wakiongozwa na wewe waliokuwa wanategemea makuu. In fact, ni wewe pekee hapa JF mwenye imani kubwa sana na vyombo vya CCM kama NEC. Sisi wengine tunaamini matatizo katika CCM ni ya kimfumo wala hatuamini kwamba kuwatoa watu wawili au hata kumshtaki Mkapa kutasaidia kuiponya Tanzania. Kufikiri kwamba matatizo yetu ya kiuongozi yatatatuliwa kwa kuwatoa kafara baadhi ya wana CCM ni sawa na kujaribu kumtibu mgonjwa wa malaria kwa panado. Sisi wengine tunaamini katika a difficult and a long route, which is to oust CCM from power.
So, please, usijenge hisia kwamba kila mtu hapa JF alikuwa anatarajia miujiza kutoka Butiama; ni wewe na baadhi ya ndugu wachache kabisa hapa JF.
Mwanakijiji: ni makosa kusema JF ilikuwa inasubiri makuu kutoka Butiama. Wengine hapa tulishakataa mapema kuwa mateka wa CCM na tulisema wazi kwamba hakuna chochote cha maana kitakachotoka Butiama. Ni wajumbe wachache wakiongozwa na wewe waliokuwa wanategemea makuu. In fact, ni wewe pekee hapa JF mwenye imani kubwa sana na vyombo vya CCM kama NEC. Sisi wengine tunaamini matatizo katika CCM ni ya kimfumo wala hatuamini kwamba kuwatoa watu wawili au hata kumshtaki Mkapa kutasaidia kuiponya Tanzania. Kufikiri kwamba matatizo yetu ya kiuongozi yatatatuliwa kwa kuwatoa kafara baadhi ya wana CCM ni sawa na kujaribu kumtibu mgonjwa wa malaria kwa panado. Sisi wengine tunaamini katika a difficult and a long route, which is to oust CCM from power.
So, please, usijenge hisia kwamba kila mtu hapa JF alikuwa anatarajia miujiza kutoka Butiama; ni wewe na baadhi ya ndugu wachache kabisa hapa JF.
Mwanakijiji: ni makosa kusema JF ilikuwa inasubiri makuu kutoka Butiama.
Wengine hapa tulishakataa mapema kuwa mateka wa CCM na tulisema wazi kwamba hakuna chochote cha maana kitakachotoka Butiama. Ni wajumbe wachache wakiongozwa na wewe waliokuwa wanategemea makuu.
In fact, ni wewe pekee hapa JF mwenye imani kubwa sana na vyombo vya CCM kama NEC.
Sisi wengine tunaamini matatizo katika CCM ni ya kimfumo wala hatuamini kwamba kuwatoa watu wawili au hata kumshtaki Mkapa kutasaidia kuiponya Tanzania. Kufikiri kwamba matatizo yetu ya kiuongozi yatatatuliwa kwa kuwatoa kafara baadhi ya wana CCM ni sawa na kujaribu kumtibu mgonjwa wa malaria kwa panado. Sisi wengine tunaamini katika a difficult and a long route, which is to oust CCM from power.
So, please, usijenge hisia kwamba kila mtu hapa JF alikuwa anatarajia miujiza kutoka Butiama; ni wewe na baadhi ya ndugu wachache kabisa hapa JF.
Golden Opportunity!
- CCM na Kikwete wamepoteza Golden Opportunity kujisafisha bila kujivutavuta. Huku kusema tukutane tena Mei kujadili yale ya siri, ni kuonyesha kuwa Chama hakina mwelekeo na Mwenyekiti hana nguvu zozote wala ushawishi wa kutosha kusafisha taswira ya chama. Hata kama kuna tecnicalities za kusema mapendekezo ya tume za Mwakyembe au uchunguzi wa EPA,walichoshindwa kupima CCM na hasa Mwenyekiti ni kujua mwendokasi wa uaminifu na imani ya Wananchi juu ya CCM na yeye kama Rais na MWenyekiti. Ameonyesha wazi katika nafasi zote kama Rais na Mwenyekiti kuwa ni mdhaifu wa kufanya maamuzi magumu.
- This is Golden Opportunity kwa opposition. Upinzani utumie fursa hii mpaka Mei wakati CCM wanajivutavuta, kujijenga kisiasa. Si kwa kukosoa na kuonyesha udhaifu wa CCM tuu, bali ni kujenga hoja na kutangaza sera zake kwa wananchi upya. Suala la Muafaka kurudishwa kwa Wananchi kupigiwa kura, liandamane na madai ya Katiba mpya, na hata kama ikiridhia Utanganyika! Hii ni nafasi ndogo na finyu ya kujenga uimara na ushirikiano katika Upinzani kwa kutumia umakidamakida wa CCM. Upinzani uonyeshe ni jinsi gani ulivyo "safi" na ni jinsi gani viongozi wao wanaweza kufanya maamuzi makubwa na magumu bila kigugumizi kama Kikwete.
- Mpiga Kura, hii ni nafasi kubwa sana kwako kujifunza kuwa CCM inalinda maslahi yake na si ya Taifa! Kama CCM ingekuwa kweli inajali maslahi ya Taifa, basi wasingeogopana kutatua kero za Taifa kwa kufumbiana macho au kuahirisha utekelezaji wa mambo ambayo ni dhahiri. Waulizeni CCM na Serikali yake, kwa nini wanaendelea kuwalipa Dowans pesa za mkataba mbovu? Waulizeni kwa nini inakuwa Siri kuhusu wanaorudisha pesa za wizi BOT huku ukame unakabili nchi, umeme bado ni shida, shule hazina vitendea kazi, mahospitali na zahanati hazina madawa au vifaa vya kutosha na zaidi kwa nini Mtanzania anaendelea kuwa masikini na kunyimwa kuongezwa kipato kukidhi mahitaji ya lazima lakini viongozi wanaongezewa "mapochopocho" maradufu?
Mwanakijiji: These are the kinds of debate that I like to engage in and am prepared to go on and on...
Ni vizuri sana kufikiri kwamba CCM itaanguka kutoka ndani na itaangushwa na wana ndani wenyewe. This is a belief (I hope it is not a misconception or a myth) like any other belief kama zile za kwangu, and it is fine to think so. Tatizo langu hapa ni impact ya imani hizi katika struggles ambazo tumeamua kwenda nazo. Mtu akisoma hii post yako ya sasa anaweza kupata picha kwamba mimi (na wengine bila shaka) na wewe tuna lengo moja lakini tunatofautiana kimkakati. Lakini hii ni kama mtu atakwenda deep na sio asome maandishi yako from its face value,which is the case with the majority of our readers. Sasa maanake ni kwamba imani yako haiwi tu imani bali pia misconception ambaye inawachanganya wananchi ambao wameanza kushika kasi ya kuondokana na umateka wa CCM. Maandishi yako yanatoa picha kwamba CCM bado ndicho chama kinachostahili kuongoza madamu kitaamua kubadilika.
Rejea makala yako ya jana kwenye Tanzania Daima. Umekariri maandishi ya Mwl Nyerere pale aliposema kwamba bila CCM madhubuti nchi itayumba na umeondoka nayo as if this is absolute truth bila kuyaweka maandishi haya in context. Lakini sote tunajua kwamba katika mfumo wa vyama vingi chama kinachotawala kikiyumba haina maana kwamba nchi inayumba. Kinachofanyika hapa ni kwamba kikiyumba wananchi wataachana nacho na uchaguzi ukija watakichagua chama kingine lakini nchi inaendelea kusonga mbele.Huu ndio ukweli duniani kote. Hakuna nchi iliyowahi kuyumba eti kwa sababu chama tawala kiliyumba; vyama tawala huwa vikishindwa kutawala huwa vinafukuzwa madarakani kwa njia ya kura.
In contrast, maandishi yako yanatoa picha kwamba Tanzania haiwezi kusimama bila CCM, which, I believe, is 200% wrong. Huu ndio ambao mimi naita ni umateka wa CCM. Ni kama vile mlevi wa pombe au madawa ya kulevya anayeamini hawezi kuishi bila hayo madawa. Lakini CCM sio dini yetu wala madawa yetu ya kulevya, kama wanayumba na wameshindwa kutawala, wajibu wetu ni kuwaambia wananchi ukweli huo ili watumie ufahamu wao kuchagua chama kingine na wala sio kuwachanganya kwa kuwaambia kwamba bila CCM imara nchi itayumba. Na wala sisi tunaotaka mabadiliko hatupaswi kuwa kama mafisi kwa kuwavizia CCM waangushe mkono kwa baadhi yao kukitema chama chao ndipo tupate mwanga wa mabadiliko. Tumesubiri wadondeshe hiyo mikono for the past 15 years na hatujaona ikidondoka lakini hatuwezi kusubiri CCM wagawanyike ndipo nchi yetu ipate uponyaji. Ndio maana nasema kama kweli tunataka mabadiliko there is not short cut to the difficult struggle as other nations have done. Lakini hii ya kuuma na kupuliza haitufikishi popote wala hatutaweza tule kakeki ketu halafu tuwe nako wakati huohuo, hii hapana, haiji kabisa.
Mwanakijiji: These are the kinds of debate that I like to engage in and am prepared to go on and on...
Ni vizuri sana kufikiri kwamba CCM itaanguka kutoka ndani na itaangushwa na wana ndani wenyewe.
This is a belief (I hope it is not a misconception or a myth) like any other belief kama zile za kwangu, and it is fine to think so. Tatizo langu hapa ni impact ya imani hizi katika struggles ambazo tumeamua kwenda nazo. Mtu akisoma hii post yako ya sasa anaweza kupata picha kwamba mimi (na wengine bila shaka) na wewe tuna lengo moja lakini tunatofautiana kimkakati. Lakini hii ni kama mtu atakwenda deep na sio asome maandishi yako from its face value,which is the case with the majority of our readers. Sasa maanake ni kwamba imani yako haiwi tu imani bali pia misconception ambaye inawachanganya wananchi ambao wameanza kushika kasi ya kuondokana na umateka wa CCM.
Maandishi yako yanatoa picha kwamba CCM bado ndicho chama kinachostahili kuongoza madamu kitaamua kubadilika.
Rejea makala yako ya jana kwenye Tanzania Daima. Umekariri maandishi ya Mwl Nyerere pale aliposema kwamba bila CCM madhubuti nchi itayumba na umeondoka nayo as if this is absolute truth bila kuyaweka maandishi haya in context.
Lakini sote tunajua kwamba katika mfumo wa vyama vingi chama kinachotawala kikiyumba haina maana kwamba nchi inayumba. Kinachofanyika hapa ni kwamba kikiyumba wananchi wataachana nacho na uchaguzi ukija watakichagua chama kingine lakini nchi inaendelea kusonga mbele.Huu ndio ukweli duniani kote. Hakuna nchi iliyowahi kuyumba eti kwa sababu chama tawala kiliyumba; vyama tawala huwa vikishindwa kutawala huwa vinafukuzwa madarakani kwa njia ya kura.
In contrast, maandishi yako yanatoa picha kwamba Tanzania haiwezi kusimama bila CCM, which, I believe, is 200% wrong. Huu ndio ambao mimi naita ni umateka wa CCM.
Ni kama vile mlevi wa pombe au madawa ya kulevya anayeamini hawezi kuishi bila hayo madawa. Lakini CCM sio dini yetu wala madawa yetu ya kulevya, kama wanayumba na wameshindwa kutawala, wajibu wetu ni kuwaambia wananchi ukweli huo ili watumie ufahamu wao kuchagua chama kingine na wala sio kuwachanganya kwa kuwaambia kwamba bila CCM imara nchi itayumba.
Na wala sisi tunaotaka mabadiliko hatupaswi kuwa kama mafisi kwa kuwavizia CCM waangushe mkono kwa baadhi yao kukitema chama chao ndipo tupate mwanga wa mabadiliko. Tumesubiri wadondeshe hiyo mikono for the past 15 years na hatujaona ikidondoka lakini hatuwezi kusubiri CCM wagawanyike ndipo nchi yetu ipate uponyaji.
Ndio maana nasema kama kweli tunataka mabadiliko there is very little room for a short cut; we must be prepared for the difficult struggle as other nations have done, and we have to tell our people as such badala ya kuwapa false impression.