Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

dah ... shyrose ameshindwa kujibu swali la mwakyembe kabisa ....linahusu flow of key factors of production in East Africa Coopeeration

halafu mtu yuko kwenye sekta ya benki...
 
Dk Godbertha Kinyondo Kokubanza anapewa nafasi ya pili kujieleza na kuomba kura

ni mwana mama huyu
 
Mgombea gani anapaka kalikiti........minyororo kama mfungwa bana

401172_3173684740261_1209820481_33466017_1061006228_n.jpg

Baharia
 
No buddy,yupo ndani ya context ya kile anachogombea.Hata jibu lake kwa Mwakyembe liko very objective.Ningekuwa Bungeni ningempigia kura
Naunga mkono hoja hata mimi ningempa kura yangu, maana wakija hawa vilaza wa vitu Maalum wa CCM utacheka hadi ufe hata Makinda ana afadhali kwa kiingereza kibovu.
 
banji ameweka bayana kuwa akipata nafasi ya kuchaguliwa kuwa member wa EAC atahakikisha anatumia profeshen yake ya mawasilino kuhakikisha watanzania wanelewa vya kutosha juu ya muunganiko huu, pia amewatoa hofu ya kukwepuliwa kwa ardhi yao.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
wagombea wanajinadi, yai kwa kwenda mbele! habari zake binafs profesa maji marefu
 
dah ... shyrose ameshindwa kujibu swali la mwakyembe kabisa ....linahusu flow of key factors of production in East Africa Coopeeration

Mwakyembe ndiye kamuuliza swali linaloning'inia na shy-Rose katumia mwanya huo kuchomoka technically bila kuoathiri mtazamo wa wapiga kura/audience juu yake

Kuna huyu mama Kinyonga Ph.D holder.Kujieleza tu hapo mbavu sina ...
 
amefuata kokugonza yeye aliwahi kuwa lecture wa mzumbe namibia amejitambulisha pia ana PHD ya uchumi. anajielezea sasa
 
swali la Mwakyembe, Shy-rose banji hakulijibu ipasavyo kitu ambacho kimemuacha Mwaktyembe ameduwaa........kwani hakutegemea
 
Naunga mkono hoja hata mimi ningempa kura yangu, maana wakija hawa vilaza wa vitu Maalum wa CCM utacheka hadi ufe hata Makinda ana afadhali kwa kiingereza kibovu.


Ni kweli mkuu...Kuna huyu mgombea wa pili

Kizungu cha mama!

Lecturer wa mzumbe na Namibia pamoja na kufanya kazi Afrobarometer! Kizungu mmh

Halafu Mnika hana huruma aisee....ameendelea kumzamisha kabisa.

Cyril Chama Nae anamfunga mama jiwe ili azame vizuri
 
Back
Top Bottom