Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

wakuu naangalia bunge, wajumbe wanajieleza kuomba kura , kabla ya hapo mwakyembe kawachana wagombea ubunge walivyotumia rushwa katika kuwania nafasi hizo
 
Kama watafuata ushauri wa Mwakyembe hawa wabunge wa CCM basi Le Mutus nje wa uwanja completely, maana Mwakyembe amesema wagombea wengi wko chini ya viwango, na bila sha Le Mutus ni one of them.

Mgombea gani anapaka kalikiti........minyororo kama mfungwa bana

401172_3173684740261_1209820481_33466017_1061006228_n.jpg
 
Wabunge wakizingatia kigenzo cha Lugha peke yake huyu Shyrose ameshashinda, maana anakitafuna kimombo kama Lawrence Masha!!....

No buddy,yupo ndani ya context ya kile anachogombea.Hata jibu lake kwa Mwakyembe liko very objective.Ningekuwa Bungeni ningempigia kura
 
dah ... shyrose ameshindwa kujibu swali la mwakyembe kabisa ....linahusu flow of key factors of production in East Africa Coopeeration
 
he! Huyu Shyrose kumbe inaonekana alikrem hotuba yake, maana haya maswali anarudia kule kuke advocacy, people participation, hana kitu concrete!

Ila spika naye! LOL hii lugha kusema kweli ni ngumu!
 
anaulizwa utafanya nini kama mbunge wa eac,anasema anawaelimisha watanzania abt eac ishus na ataiwakilisha tz vzr
 
Back
Top Bottom