mgombea wa chadema alikuwa dhaifu mno, anthony komu alishindwa kujieleza kabisa.kwa nini ccm wanaichukia sana chadema?
mgombea wa chadema alikuwa dhaifu mno, anthony komu alishindwa kujieleza kabisa.kwa nini ccm wanaichukia sana chadema?
Bwa! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!ha! ha! ha!ha! jamani hakuna mwenye namba ya Balatanda hapa? tafadhali mjulisheni kabla sijafunguwa hii Champagne, maana Bala alishambuliwa na huyu Baharia kwa kumshauri kwamba post anayoimudu ni kuwa meneja wa Ngwasuma!!.. hahahahahahahahaha!!.....
Lenana you ar right 100%. Mathematicia cum Economist is going to be our voice in EALA. Let us give her support.
Mkuu,
Chadema imepata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi huu kuliko chama chochote...kuigania nafasi ziongezwe tu ni ushindi mkubwa.Imebidi nilete tena post yangu ya awali unielewe sasa.Tena nilileta hii post kabla hata uchaguzi haujafanyika
Hili suala kama nilivyosema tangu awali tulihitaji kuchukua msimamo mkali juu ya hili.Tulitaka hata member states wa jumuiya ya EAC wajue kwamba Tanzania inayoongozwa na CCM haijawa fully commited katika jumuiya ambayo pre-conditions ni democracy,freedom.liberty and equity.Tulitaka jumuiya ya Afrika mashariki itambue kuna watu wanabaka demokrasia kwa maslahi yao.Tulitaka wajue kwamba muda wote Tanzania imekuwa ikipeleka wawakilishi bila kuzingatia matakwa ya kisheria,mahitaji ya jumuiya,watu wasioitakia mema Tanzania na jumuiya.Ni zao la uhuni na ghiliba.Kinachatikiwa ni decency na maslahi ya Taifa Mbele na maslahi ya jumuiya kwa mapana.
It is not just about winning an election: it is about restoring a sense of decency to our society and Region at large. It is about taking pride in, and respecting,ourselves as human beings and consciously internationalizing democratic values. Unless we do this, development and true freedom will forever elude us and talents will never flower in the land.
But if the answer is democracy, what exactly is the question? The question is: Why are we still not properly practicing it? And that is where CHADEMA comes in-to provide the missing link
kama ingeshindikana basi ingekuwa necessary kujitoa katika mchakato huu halafu tufungue kesi mahakamani.Kufungua kesi mahakamani ni kuwatendea haki watanzania kwani imani itakuwa imebaki katika taasisi za kidemokrasia ambayo Mahakama ni mojawapo
Wanatia mchanga kitumbuakwa nini ccm wanaichukia sana chadema?
Hapana mkuu wangu mimi napingana na wewe kwa 100% katika hili, yule madam Kessy kama ndio angekuwa mgombea wa Chadema ni lazima angechaguliwa, nimesikitishwa sana Chadema chenye wasomi lukuki kwa nini kisimamishe mtu hayuko competent kwenye Fluently English? hapa nategemea na kina Ben Saanane mnijibu wakati hizi fomu zinatolewa mlikuwa wapi? au bado kitengo cha habari kina mapungufu?Ndoa tamu bana!
Yaani watu wanapanga sherehe za kusherehekea kushindwa kwa William? That is low!Ebwanaeee,
Wewe unaona mie nafurahia Le Mutuz kushindwa? Wapi nimefurahia? Mi napoint out tu kwamba mbio za sakafuni zina mwisho wake.
Kama mie nafurahia na hao watu wanaopanga party NYC wanaalikana DC, NJ, CT and all over the northeast kusheherekea utasema wanafanya nini?
Le Mutuz inabidi apitie bluebooks kwanza, blueblood pekee haitoshi.
Hapo kwenye red is what I meant. Huwezi kutoka Marekani fasta na CV ya kufanya kazi UN halafu ukategemea kupigiwa kura. Tena ndani ya CCM?Mkuu EMT
Unaamini kabisa kwamba walioshinda ni kwasababu wamekaa sana Bongo na wanauelewa mkubwa kuliko wa le mutuz?
Siasa na upigaji kura wa tulicho kiona pale ni zaidi ya kiingeraza walichoongea na cv zao...............you know what I mean
Inawezekana tu amekosea kuzichanga karata zake lakini si kwasababu ulizozitaja
Yaani watu wanapanga sherehe za kusherehekea kushindwa kwa William? That is low!
Ebwanaeee,
Wewe unaona mie nafurahia Le Mutuz kushindwa? Wapi nimefurahia? Mi napoint out tu kwamba mbio za sakafuni zina mwisho wake.
Kama mie nafurahia na haoya watu wanaopanga party NYC wanaalikana DC, NJ, CT and all over the northeast kusheherekea utasema wanafan nini?
Le Mutuz inabidi apitie bluebooks kwanza, blueblood pekee haitoshi.
Sielewi unamaana gani unaposema kuungwa mkono, kumuunga mkono mtu si kumshangilia na kumwambia you are the best, hata kumpa challenge kama alivyokuwa anapewa William na Mtanzania ni njia mojawapo ya kuuga mkono.Sikumbuki mwanaJF aliyewania uongozi wa kisiasa akaungwa mkono hapa. Kwahiyo wanaJF wote ni incompetents in politics?
Very classy of them!
With this mentality......Kwenye chaguzi Zetu akina Lusinde na Wasira wanaingiza watu wengi mkenge sana
Some people keep their private lives private -- and seem to find ways to dodge the paprazzi. I don't know why some reporters [and almost everyone] feel they ought to know as much of someone else's private life as possible -- who he/she's dating, etc.
It must be tasking to be a celebrity. The people who want to know for example who Jessica Alba's boyfriends or to see pictures of someone making out with her by a pool would feel highly violated if the same were done to them
About dressing styles,inategemea na mazingra ya muda husika.
Kwani kila anayekuchekea anakupenda?Kawafanya nini??
Ila hawajui akigeuza kibao na kutaka kuingia bunge letu 2015 ana nafasi kubwa tu.
Kawafanya nini??
Ila hawajui akigeuza kibao na kutaka kuingia bunge letu 2015 ana nafasi kubwa tu.
usemi wako SI SAWA. Kuna weupe kama watatu hivi wamechaguliwa kwa kura nyingi sana tu. Hivyo umbumbumbu haikuwa tatizo.