Kutoka bungeni... nimemsikiliza wenje hadi nikasisimka.

Chadema kwa kutafuta umaarufu bana.juzi apa halima mdee anahimiza nyumba zile zibomolewe,leo wamegeuka kisengele nyuma wanahoji et kwann zimebomolewa.washamba kweli.
 
huuuureeey chadema kiboka chao ccm wao nikupiga meza awana lolote kichwa maji tuu kusubiri posho mungu ibariki tanzania mungu ibariki chadema
 
Kama tumemsikiliza vizuri nadhani pamoja na kukiri kuwa serikali inachelewa kuact on those who contravene on the construction laws, kasema wanaojenga pia wako tricky. They are sometimes ahead of the government. Hata hivyo kasisitiza dhamira ya kuendelea kubomoa bado ipo
 
Back
Top Bottom