Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

Kama mpinzani wako anajiendesha kilegevu kumfanya awe mkomavu si atakuongezea ushindani?

Kuna anayetaka ushindani.

Naona nchi yetu itakuja kua Police State.

Nchi zingine watu wanagombea madini, gesi, mafuta sisi tutagombana kwa ajili ya uonevu.

Mbuzi yeyote akiniquote kunielezea ujinga namtukana.
 
Unajua chochote kuhusu wizi wa 1.5 trillions? Unajua chochote kuhusu trillions kuchotwa na huyo fisadi bila idhini ya Bunge na hilo Bunge DHAIFU na UOZO likikaa kimya?

Fungua akili yako uone maovu yanavyozidi kushamiri nchini kila leo.

Sawa kaka, wewe mwelevu, nitajie nchi moja tu duniani ambayo watu wake wapo huru, hakuna sheria za kuwabana. Nchi moja tu
 
Vitakavyoumia ni vyama vya siasa vya upinzani, chama Tawala mambo yedede. Huwezi kumhujumu anayekupa ugali. Cha msingi hapa msajili asiteuliwe na Rais ili aweze kutenda haki kwa vyama vyote.
Na wala sio vyama vyote vya upinzan bali ni kile chama kitakachoonekana kuchipuka
 
Ni hasara kubwa kwa nchi kuwa na majuha kama wewe ambao mnakumbatia kila maovu kwa kutupiwa mafupa kama mbwa.

Trillions zinaibiwa hazina lakini majuha kama wewe bado mnakenua na kumpigia makofi huyo kubwa la majizi.

Mlizoea kunyofowa vipengele!
 
Nitajie nchi yoyote duniani isiyo na sheria ambayo watu wake wapo Huru wanafanya lolote Walitakalo. Nchi moja tu kaka

Lakini hizo sheria za kusema mtu akiamuwa hawezi hata kushitakiwa mahakamani ziko nchi gani jamani. Majirani zetu mbona hawana sisi tunapendea nini sheria kama hiyo. Huyo msajiri atakiwa ni mungu asihojiwe na mahakama jamani. Ukisikia nchi inaelekea shimoni ndo sheria za hivo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa mujibu wa mwakilishi wa TLS wakili msomi Jebra Kambole aliyehojiwa na ITV amesema sasa vyama vinavyoishi bila kufanya uchaguzi wa viongozi wake na wale viongozi wa maisha siku zao zinahesabika kwani sasa msajili wa vyama vya siasa amepewa rungu na sheria mpya.

CHADEMA na Mbowe jiandaeni kisaikolojia
Maendeleo hayana vyama!
 
By 2020 ,kutakuwa na kura ya ndio au hapana,hakuna chama cha upinzani kitakuwa salama
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Inasikitisha sana, pamoja na mijadala mingi kuhusu mswaada huu ambao sasa ni sheria, sidhani kama kuna Mbunge wa CCM aliyesumbuka kusoma au kuelewa unahusu nini hasa, kama wapo ni wachache kwa sababu hata kwenye mijadala ya wazi sijawasikia, wengi wameenda kusema "Ndiyooo". NI AIBU.
 
Enzi zile ziara za Mbowe ilikuwa lazima akague vile vikosi vyao vya kigaidi vya chama. Tulipiga kelele kuwa haikuwa sawa tunashukuru sheria imepitishwa.
 
Makabrasha ya muswaada mzima yanaweza kupatikana wapi ili wapiga kura wapate kuyasoma pia
 
Back
Top Bottom