MKUU WA WAKUU
Member
- Oct 23, 2010
- 18
- 1
Kitendo cha wabunge wa CHADEMA kutoka bungeni jana kimetafsiriwa kama udhaifu mkubwa kwa raisi wetu JK na pia kinaonyesha kuwa wananchi na wabunge hawana imani na serikali ya huyo bwana.
Viongozi kadhaa wanaohudhuria mkutano wa maendeleo wa nchi za Caribean wanasema jambo lililofanyika jana huko Tanzania ni historia na ni nchi chache sana duniani zinazoweza kufanya kitendo kama kile. Inasemekana Ireland ndio nchi pekee ya Ulaya ambayo wabunge wa upinzani wamekuwa mara nyingi wakitoka bungeni wakati waziri mkuu akiwa anahutubia.
Ploe JK upinzani wa kweli umeingia bungeni