Kutoka Bungeni kwa wabunge wa CHADEMA kwaleta hisia tofauti Newyork

Speaker

Speaker

JF-Expert Member
6,325
1,195
jamani vp mbona watumia avatar yangu yakhe? Kabla sijaangalia jina nilidhani kuna mtu kani hack
hahahaha,dah nimecheka sana!
yani ni kama mtu kamshika mwizi vile!..ongea nae maana tunachagua avatar bila kuangalia nani anayo kama hiyo kwanza
 
Bhbm

Bhbm

JF-Expert Member
715
225
Matokeo ni kwamba imeanza kula kwa Chadema.

Hata Mhe Mbowe anaonekana kulainika ili kukwepa lawama za kusababisha wabunge wake kupigwa stop bungeni.

JK na Serikali yake watambuliwe ili yaishe. Tunamaliza muda mwiingi kulumbana kwa mambo ambayo hayana tija.
Wananchi watatupa kura tena kweli kwa vitendo hivi vya kihuni?

Tumejimaliza wenyewe, sasa tunachekwa na kila mtu ndani na nje ya nchi. What a shame!
Inanipa wakati mgumu sana kila niingiapo JF na kukutana na pumba za watu kama nyie, wewe sijui ni mtoto wa fisadi!!!!! yaonekana huna uchungu kabisa na matatizo ya wananchi wa Tanzania walala hoi. Sijui mnatumia ubongo gani kufikiri kwa sababu siamini kama ati elimu ndogo ndicho chanzo cha nyie kuongea pumba kama hizi, kwani kuna wengi wenye elimu ya msingi yu lakini wanaaongea mambo ya maana sana. Shame on you. Mnafiki mkubwa weeeeee na wote walokutuma, wewe na ccm yako ndio mmejiaibisha na siyo Chadema nyambafuuuuuuuuu
 
1

1954

JF-Expert Member
7,457
2,000
Mkuu leta source ya hii habari (QUOTE).

Hana source huyo. Tangu lini habari ya kutunga ikawa na source?
 
K

Kasuluma

Member
18
0
Tumejimaliza wenyewe??? Nani wenyewe, kwani wewe ni CHADEMA?? Mimi nafikiri CHADEMA imejijengea msingi imara mbele ya wapiga kura wake. Wapiga kura wanataka kura zao zimebaki kama walivyopiga, no one should change their decision. Wabunge wa CHADEMA wamewawakilisha vizuri kabisa wapiga kura wake kwa kudai haki kwa niaba yao. Mimi kwanza sikuwa mwanachama wa chama chochote lakini baada ya CHADEMA kuonyesha msimamo imara sasa nitaenda kununua kadi ya CHADEMA na kushawishi watu wengine pamoja na wewe kujiunga na CHADEMA ili kutetea haki za wananchi Tanzania.

Watu wanaosema kuwa CHADEMA imejimaliza hawaelewi hali ya kisiasa na mwamko ulioko katika nchi yetu hivyo CCEM watakosea sana kupima kuja kwa mto kwa kutumia kijiti haya ni mafuriko hivyo naomba heshima mtindo mmoja kwa salamu za Wabunge wa Chadema pale Bungeni siku ya JK hotuba
:target:
 
N

NgomaNgumu

Senior Member
193
0
Ni afadhali tukakubali kua hadi sasa hakuna mwenye uhakika kua wabunge wa chadema kutoka bungeni walifanya vizuri au waliharibu. Ninachofikiria kwa haraka ni kua wakati ni muhimu ktk kulifahamu hilo na wengi wanaozungumza hawana uhakika na wanachosema. Jaribu kuchukua hizi sample na uzifanyie kazi. Kwa mfano kuna wale wanaodai kua Chadema ni mashujaa, Chadema wamejimaliza, Rais aliaibika na maneno mengine mengi. Haya yote yanaonyesha kutokoa makini na kutokua na uhakika na mtu anachokisema. The time will tell
 

Forum statistics


Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom