Kutoka bungeni: Kati ya kesi za rushwa zaidi ya 4000, PCCB imeshinda kesi 48..

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,283
976
Hayo yamesemwa na mbunge kijana kutoka mkoani Kigoma, Mh. Machali..

Kama ni kweli, bas sheria zetu zna mapungufu mengi!
 
Mkuu ungejaribu kufafanua ili tusiosikia nasi
tujue kilichoongelewa ni nini kuhusu kesi
hizo lakini hao viongozi ndiyo wanakwamisha
kila jambo kwenye nchi hii sioni wa kulaumu hicho chombo kirahisi.
 
Takukuru ivunjwe,kazi ya kupambana na rushwa waachiwe wahubiri wa Injili
 
Back
Top Bottom