Anheuser
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 1,944
- 662
Umesema ni katika makubaliano au ni sheria na katiba? Hueleweki.Na katika makubaliano ni kuwa ni marufuku bunge la muungano kujadili chochote kisicho cha muungano kinachohusu Zanzibar bila kuridhiwa na baraza la wawakilishi la Zanzibar kwanza.
Uchaguzi wa Zanzibar bunge la MUUNGANO HALINA UWEZO WA KIKATIBA NA KISHERIA KULIJADILI
kwa mujibu wa kanuni gani labda? Au sheria gani?Hotuba yake imekiuka vitu vingi mfano
1.Swala la uchaguzi wa Zanzibar si swala la muungano.Bunge halina haki kujadili jambo ambalo la si la muungano.Jambo la Zanzibar haliwezi jadiliwa hadi liletwe na baraza la wawakilishi.