Kutoka Bungeni Dodoma Leo Tarehe 12/12/2013

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
7,451
10,695
Maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu.

Rukia anambana waziri mkuu juu ya Kauli za kina kinana na Nape..
 
Mnyaa: Kuna mambo yanatokea inaonyesha serikali inaudharau mhimili wake wa pili.
Anauliza swali kuhusu change ya rada
 
Mnyaa: Kuna mambo yanatokea inaonyesha serikali inaudharau mhimili wake wa pili.
Anauliza swali kuhusu change ya rada

Pinda: sina uhakika na hayo kama pesa ya rada haikufika zanzibar.
Pinda anasema waziri wa elimu ataeleza zaidi.
 
pinda= tunajaribu, mchakato, tutaendelea, sina uhakika, tunaangalia namna= zero confidence na uelewa hata wa kile anachokisimamia
 
Lema na ZItto tena kuhusu pesa za Uswisi...

Haitaji kinga kumtaja mwizi!!
 
Zitto asipotaja majina ya walioweka pesa Uswisi basi na yeye ni mmoja wa wale walioficha pesa hizo----
G.Lema
 
Filex Mkosamali sasa:::pCCB imekuwa inatuhumu kesi nyingi sana zaidi ya 4000, lakini walizofaulu ni 48 tu
 
Mwana Sheria Mkuu wa Serikali anasema Zitto Kabwe alisaini kwa kiapo kuwa hana jina hata moja wala namba yoyote ya akaunti ya mtu yeyote.
 
Back
Top Bottom