Kutoka Baraza la Wawakilishi Leo Kupitisha Bajeti ya Wizara ya Mawasiliano Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka Baraza la Wawakilishi Leo Kupitisha Bajeti ya Wizara ya Mawasiliano Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Aug 3, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=3][/h]

  [​IMG]
  Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho, akitoka katika Ukumbi wa Mikutano baada ya kuahirisha kikao cha asubuhi kwa ajili ya sala ya Ijumaa. [​IMG]
  Wajumbe wakitoka katika wa Ukumbi wa Mkutano baada ya kikao cha asubuhi.
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  Waziri wa Fedha Mhe Omar Yussuf Mzee, akitowa ufafanuzi wa jambo alipokuwa akizungumza na Mwakilishi wa Jimbo la Kitope Makame Mshimba wakiwa nje ya Ukumbiu wa Mkutano leo.
  [​IMG]
  Mwakilishi wa Mji Mkongwe Mhe. Ismail Jussa, akizungumza na Kiongozi wa Wafanyabiashara ya Makomtena Darajani alipofika kumuona Mheshimiwa kumuelezea matatizo yao katika maeneo hayo.
  [​IMG]
  Mhe Hamad Masoud akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Mawasiliona na Miundumbini waliofika kusikiliza bajeti ya Wizara yao wakiwa nje ya ukumbi wa mikutano.
  [​IMG]
  Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismai Jussa na Naibu Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Issa Haji Gavu wakbadilishana mawazo baada ya kuhairishwa kikao cha asubuhi kilichokuwa kikipitisha Vifungu vya Bajeti ya Wizara yake kwa ajili ya Sala ya Ijumaa hadi Mchana kuendelea na Kikao hicho.
  [​IMG]
  Mhe Spika Pandu Ameir Kificho na Waziri wa Sheria na Katiba Mhe Abubakar Khamis Bakar wakitoka katika ukumbi wa jengo la baraza kwa ajili ya kwenda kusali baada ya kuahirishwa kikao cha asubuhi leo.
  [​IMG]
  Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi nje ya Ukumbi baada ya kuahirisha Kikao cha asubuhi kilichokuwa kikipitisha Bajeti ya Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar, hatimai kupitishwa katika katika Kikaom cha jioni kwa mijadala mikali ya Wajumbe.​


  Imewekwa na MAPARA at 6:08 PM
   
Loading...