Kutoka ATCL kwenda Shirika la Kuuza Chuma Chavakavu Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka ATCL kwenda Shirika la Kuuza Chuma Chavakavu Tanzania

Discussion in 'Jamii Photos' started by Jagermaster, Apr 11, 2012.

 1. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  images1.jpg index.jpg
   
 2. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 3. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Baada ya David Mataka wa PPF kuhujumu, sasa wampe Mr. Wiliam Erio (DG wa PPF wa sasa) ili akalizike kabisa maana PPF will die soon with peoples contributions   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Unaweza kunua mitumba ya nguo bila madhara makubwa kwa jamii lakini unaponunua mitumba ya vyombo vya moto vinavyoruka angani unachezea uhai wa wananchi wako; acheni kunua ndege mituba nunueni ndege mpya!! Kama Rwanda wanaweza nyie mnashindwa nini?
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwanini ATCL tu?
  Hata kama ni mipango ya Mungu, jamani kwanini kwenu tu?
  Mashirika mengine yanatumia wataalamu wa wapi?
  Hapo kinachoonekana wazi hata bila nguvu ya darubini ni UZEMBE uliobobea, na kutojali.
  Hao wazee walioenda Kigoma kufanya uchunguzi wanatafuta hela ya nights tu, hakuna lolote la maana watakalofanya!..Kwanza ripoti itakayotumika ni ile ya Mtengenezaji, ambaye atakuja soon kuchunguza!..Hawa akina mzee Mtokambali na wazee wenzie wanachekesha na kukamilisha ratiba ya kuchota senti za mwishomwisho za kampuni hiyo iliyo ICU!
   
 6. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Yaani roho inaniuma basi tu.
  Sasa hatuna ndege inayofanya kazi. Iliyopo iko karakana, wahandisi wetu wanaishughulikia baada ya menejimenti kusema kwamba nje inagharimu pesa nyingi. Sasa mlikuwa wapi miaka yote?

  Tulianza na ATC, sasa ikaja ATCL, naona tunakoelekea itakuw ATCL United. Maana hakuna kinachoeleweka, ubia na South African Airways umeishia wapi? SI ajabu KQ itakavyoendelea kutawala anga la Afrika Mashariki, na baadaye Afrika sisi bado tutakuwa tunashangaa shangaa. acheni hizo bwana. Mambo ni ya jabu sana na bado mnajitunishia mifuko tu. Hivi niwaulize, MMEROGWA??? AU MMELOGWA!!! Aargh!!
   
 7. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,568
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Tanzania Kuna shirika gani la kujivunia ?? yote ovyo na hayo ni shauri ya Serikali kuingilia utendaji wa makampuni na kuleta maamuzi ya ajabu kabisa yenye kudidimiza na viongozi wanajua lkn naamini na wao ni part ya huo wivi.Nilishaandika huko nyuma kuhusu gharama ya kukodi Airbus A320 kwa gharama ya dola 370,000 wakati watu wa aviation tunajua lease ya ndege ya size hiyo haivuki dola 90,000 plus ghrama ya engineers,pilot na cabin crew(wet lease).Watu wa Intelligence wanafanya kazi gani ? kutisha watu bar ? iliwezekana kabisa kukodi b737-400 series au za juu ambazo usingeajiri injinia ,rubani, wala flight attendant kwani unao wa kutosha.La pili ndege imekaa south Africa zaidi ya mwaka na mwisho wa siku gharama zikavuka dola millioni moja na nusu.Initial cost ni dola 250,000 lkn watu hawajui kabisa kwamba ndege ilikaa kule kwa makusudi kabisa ili bei iwe kubwa na hela ingine wavute.Malipo hayo yangetengeneza mpaka hii ndege nyingine iliyofumuliwa pale JKNIA.Ndege ilikaa karibu mwaka hebu fikiria shs ngapi zimepotea.CCM WANAJISIFU TU LKN UKWELI WAMESHINDWA KUONGOZA NCHI.BAHATI YAO WANANCHI WALIO WENGI HAWAYAJUI TUNAYOYAJUA KWANI MWISHO WAO UNGESHAFIKA
   
 8. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchi imefanywa kuwa shamba la bibi!
   
 9. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mmesahau ile ya mbeya iliyomuua Akukweti, au ile haikuwa ya ATCL?
   
 10. Karikenye

  Karikenye JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tatizo la Tanzania nafasi zozote ya uongozi tangu enzi za Mwalimu zinatolewa kwa kuangalia uhusiano wa anayepewa nafasi hiyo na chama (TANU then CCM), hata uzalendo kwao ni kwa Chama kwanza then kwa Tanzania! Ukiweza kuzuga kuwa unaipenda CCM utapeta wewe na watoto mpaka wajukuu zako... huo ndiyo uzalendo... Wakati wenzetu kama Marekani uzalendo ni Marekani mbele Democrats na Republicans nyuma... sisi ni vice versa matokeo yake ndio hayo tunayo yaona!! ATC Kushney! ATCL kushney! litakalokuja hata kama CAG kashauri ATCL ivunjwe liundwe shirika lingine la ndege nalo likiundwa KUSHNEY! Mpaka huu ujinga tulio nao tutakapo achana nao!!! Hakuna good governance karibu kila mahali... wanaolalamikiwa hakuna anaye wagusa .. mashirika kama NSSF tunaambiwa kuna UDINI jamaa haguswi, PPF kuna shida jamaa haguswi... kuna mashirika watoto wa wajumbe wa bodi wameajiriwa katika mashirika ambayo wazazi wao in wajumbe wa bodi, kiasi kwamba bodi haziwezi kuziwajibisha menejimenti, serikali inaona lakini hakuna kinachofanyika....good governance imeshakuwa compromised.. nobody cares...!! Hiyo ndiyo Tanzania 50 years post independence!!
   
 11. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa na wasiwasi sana kuhusu ile ndege moja ya ATCL kwamba ingekuja leta balaa kubwa. Ni heri ATCL wapotee kabisa wasipate tena ndege asilan wasije wakatuliza vibaya zaidi.
   
 12. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 931
  Trophy Points: 280
  Yaani lile shirika liko hoi taabani...ukijiuliza dege kama lile walilokua nalo mwaka 1999 lililobeba mwili wa Mwalimu Nyerere kutoka London liko wapi?!! maana sasa wako hoi kwishnei kabisa hivi ni laana ama?
   
 13. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ATCL-A dying company with one Scrap metal left.
   
 14. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Erio jina lake halimruhusu..

  1. Mataka.
  2. Chizi.
  3.......??:lol:
   
 15. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  And the company is having well paid management
   
 16. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Changamoto ilianzia ipouzwa kwa SAA ambao inasemekana walikomba vipuri vyote,alipokuja Mataka akawa busy kununua vitu vya mitumba.Naona mr chizi wamemwachia limfie,jamani hata ile ndege ya dawa nayo imeanguka,ni vema serikali ikaipa mtaji ianze upya.
   
 17. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tanzania kilichobaki ni kiwanda cha bia,konyaji,msuba,mirungi,gongo, nk.
  hiyo ndiyo biashara tunayoiweza.
   
 18. s

  sambu JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Jamani niwape taarifa rasmi za kq. Kwa sasa wanazo ndege 46 za ukubwa mbalimbali. Malengo yao ni kufikia ndege 64 by 2015. Wameoda boeing 787 ndege ya kisasa kwa boeing kuliko zote. Tayari wameisha lipia 9 na kuizindua moja. Hii ndege inaweza ruka masaa 19 bila kutua. Sisi tumewakodolea mimacho tu. Nao walianza kwa shida baada ya east africa airways kujifia. Wanapanua uanja wao na wanataka nairobi iwe hub ya africa. Kwa hali hii hata ka precision nakaonea huruma.watakaua tu. hivi sisi tuna vichwa vya namnangani? nenda nairobi uone fly overs zinavyojengwa kama vile hawana akili nzuri. Sisi tunaimba mabasi yaendayo kasi ! Jamani tutaamkalini?
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  TBC is in ICU as well
   
 20. driller

  driller JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mkuu ukiwa na hasira na tanzania namna hiyo unaweza ukaishia kupata vidonda vya tumbo bureeee na kama unavyo basi ninauhakika umevitonesha.... nchi hii inahitaji kiongozi mpya ambaye hata chekea madudu kama haya... na huyo yuko mikononi mwetu kwenye kuchagua a.k.a kupiga kura.... ukichagua ccm tena uta jikuta una experience mazito kuliko haya ndege ni moja tuuu... migodi yetu jeee? vitalu vya kuwindia jee? samaki wetu jee? yooote haya ukiyakusanya na kuyafanyia consideration utakuta unaamsha vidonda vya tumbo bureeeee...... tumia kura yako vizuri 2015
   
Loading...