Kutoka Arusha - Vita Kati ya Kampuni ya Kilimanjaro Parking Sistem vis Barrick Parking Sistem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka Arusha - Vita Kati ya Kampuni ya Kilimanjaro Parking Sistem vis Barrick Parking Sistem

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Ndallo, Aug 3, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hapa Arusha leo ni kelele mji mzima kupitia vipaza sauti kwenye magari mawili yanayotangaza zoezi la ukusanyaji wa kutoza ushuru wa magari yanayopaki Arusha mjini pamoja na viunga vyote vya jijini hapa!

  Kulikoni? nikwamba kampuni ambayo ilikua inaendelea na ukusanyaji ushuru ya Barrick Printers Parking Sistem wanatakiwa kuondoka kwenye maeneo ya ukusanyaji ushuru na kuwapisha wakusanyaji wapya wanaojiita Kilimanjaro Parking Sistem, ukipita kwenye viunga vyote vya mjini utaona wakusanya ushuru wa aina mbili kwenye hizi Uniform zao, wale ambao wanaendelea na zoezi hili wao wamevaa Jacket za rangi ya Chungwa (Barrick Printers Parking Sistem), na hawa ambao wanadai sasa ndio wanayohaki ya kutoza ushuru, wao wamevaa Jacket za rangi ya Light Blue (Kilimanjaro Parking Sistem).

  Hali hii imeshawachanganya hata waendeshao magari kua kwasasa wamlipe nani? nimeuliza kutoka kwa mkusanya ushuru mmoja kulikoni? akaniambia kua kuna kesi iko mahakamani na mahakama imeshatoa amri kua hawa Barrick Printers Parking Sistem waendelee na zoezi hili la utoza ushuru, na hawa wa kampuni ya Kilimanjaro Parking Sistem nao wanadai wanahaki ya kukusanya ushuru na kibali wapepata kutoka halmashauri yaani Manispaa. Sasa basi kutokana na kelele hizi za maspika barabarani na kua kero, madereva nao wamedai zoezi hili likiendelea na wao pia watagoma kulipa ushuru kutokana na hawajui ni nani mwenye dhamana hii ya kukusanya ushuru. Haya ndio mambo Mseto kutoka jijini Arusha.
   
 2. m

  mareche JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nimewaona hata mm ila sikuwa najua poa asnte kwa taarifa
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wizi mtupu!
  Hapo ujue kila kampuni inapigiwa debe na mtu fulani anayesimama nyuma!
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Eh poleni
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  basi na sisi tunagoma.....hatupaki.....
   
 6. w

  wasasa Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  usipopaki shoping utafanya vipi?
   
 7. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  kupaki tutapaki lakin hatulipi,wakija wawil ntawauliza,nani ana haki ya kulipwa,wakiendelea kubishana nawasha gari nasepa...
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Hizi kazi za Halmashauri zina walakini sana; huwezi mpa mtu kazi inayohitaji kuajiri zaidi ya watu mia kwa mkataba wa mwaka mmoja; shida ni Watanzania (wanaoajiriwa) hawahui haki zao vinginevyo hakuna kampuni ingeomba kazi za Halmashauri kama siyo za miaka mitatu na kuendelea
   
 9. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hii nchi inahitaji kiongozi Shujaa, kila sehemu ni kulipa ushuru halafu hizo pesa zenyewe tunazotozwa hawazitumii kwa maendeleo yetu ni bora tusilipe kabisa. Ushuru kila sehemu, kulima ushuru, kuvuna ushuru, kununua gari ushuru, kupark gari ushuru, kupitisha mushumaa wa mwenge ushuru, mashuleni ushuru kila sehemu ya hii nchi ni ushuru ushuru. Sisi walalahoi tupo kwenye hali mbaya sana kwa kuwa huu ushuru unatulenga sisi.
   
 10. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ha ha ha.... Preta yaeda chini kwani wanafika?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  nlilifikiri tangu mh. raisi aliposema sasa arusha amani na mikutano ya kimataifa imerudi ilikuwa ni kweli, kuna ni tene?//
   
Loading...