tzkwanza
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 1,568
- 3,603
Siku ya Mei mosi mama alitoa ahadi ya ajira 40,000 mwaka huu wa fedha. Cha kushangaza wametangaza ajira 9000.
Ummy Mwalimu aliliambia bunge kuwa wataajiri watumishi 12,000 katika kada ya afya ila wametangaza nafasi 2000.
Wito serikali waache janja janja na uongo uongo.