Kutofikishwa kibo kunaweza kukufanya ubadili ubadili mwongoza njia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutofikishwa kibo kunaweza kukufanya ubadili ubadili mwongoza njia?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by charger, Jun 14, 2011.

 1. charger

  charger JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Habari zenu wana jamiifulani,

  Katika mapenzi na mahusiano nimekuwa nikisikia manung'uniko ya chini chini wapenzi wengine wanapokua wanaenda kutalii Mlima Kilimanjaro hawawafikishi wenzao kule kwenye peak yaani Kibo au Mawenzi.

  Sababu za hii hali zimekua ni nyingi wengine wanachoka mapema shauri ya kupanda kwa pupa,wengine wenzi wao wanatembea polepole sana wanashindwa kuwavumilia,wengine style wanazozitaka kupanda na kufika huko wenzao hawazipendi au hawazijui.

  Je hii ni kweli?
  Na kama kweli mwongozaji kila siku anakuachia njiani unaweza tafuta mwingine hata wa kuibia siku mojamoja?Je unaweza kumweleza mwongozaji wako unapohisi ni goigoi?Na kama ulishawahi aliichukuliaje?

  NB:SUMU YA PANYA NI JINA TU JARIBU UONE KAMA NI YA PANYA!
   
 2. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ukimzoea, mweleze! Vinginevyo utakuwa unafaudu wewe tu!
   
 3. charger

  charger JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Na kumzoea ndio mpaka lini???
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ehh mwambie km vip..
   
 5. M

  Marytina JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Personally tunaweza kucheza mara 3 (five games) nikafika mara mmoja na huwa naridhika sana na hii hali as hili tatizo ni kubwa sana mpaka najiuliza wakaka vipi?
   
 6. charger

  charger JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mmmmmh hii nayo ni experience mpya lol!
   
 7. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hina haja yakumtafuta mwongoza njia mwingine,inabidi uwe muwazi kwa mwenzako kama bado unahitaji endelea na safari ili akuongoze vizuri.Inawezekana hata njia anayotumia ina korna nyingi sana thus ivigumu kufika mapema kibo
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mtaalamu umerudi nilikumiss sana karibu tena.

  Kupandishwa mlima unahitaji Porter mmoja tu huyo akichemshia njiani sio Porter poa ha ha ha napita tu wajameni
   
 9. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145

  dah! mie nliwahi kukutana na tatizo kama hilo, but nlivyomweleza muhusika, akawa mnyooonge, kiasi kwamba hata kwny game akapunguza manjonjo. Najuuta kumuuliza
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Panda MERU kwanza
  Ukisha zoea hali ya hewa huko juu
  Na jinsi ya ku handle G force then
  uende kibo au mawenzi panda zote ukiweza.. unakimbilia Kili kichuguu huwezi kupanda khaasaaa.
   
 11. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Nimeipenda signature yako.
   
 12. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  That is interesting? Ikawaje? Bado unaye?
  Ina maana hakukubali ukweli wa mambo?
   
 13. charger

  charger JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Tajy huo uwazi umemcost mwenzetu mmoja hapa lakini
   
 14. charger

  charger JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Duu sasa sijui kipi kizuri,kwahiyo unashauri kuvumilia tu?siunaweza pata utapiamlo kwa kutoshiba kila siku?
   
 15. charger

  charger JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nimekubali AFRO we mkali comment zako bwana kila siku zinakua very tricky ha ha haaaa.
   
 16. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  chamsingi ni kumueleza hakuna kusubil azoee mm niumie rohon
   
 17. charger

  charger JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Dena nimerudi siunajua mahangaiko ya dunia some times unashindwa kutembelea jf.Sasa Dena porter kila siku anachemsha njiani afu we unasemaje?
   
 18. mkolosai

  mkolosai JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 638
  Trophy Points: 280
  charger nimekukubali! kibo hufiki bila kupita school hut,hansmeer,gilmans au stella point.kama wewe ndie porter,mweleze client wako kuwa vituo hivyo vina hitaji mvipite kwa mandalizi mazuri ili mfike KIBO. pia njia ni mwendo wa Ziggy zaggy.
   
 19. m

  morio JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Complex issue na wakaka wa siku hizi wanasingizia kazi nyingi sijui kuku wa kisasa sijui bia! Yaani unaweza hata in a year usifike akija akgusa kamaliza! Demu akikuambia hakupendi ila akikupenda kwa dhati atatafuta reason ya kuhakikisha angalau anamatch na hiyo speed ya roket, coz ukimuambia most men wanajisikia unyonge na anaweza from bad to worse as hapo anadeal na self esteem. Kuna mkaka mmoja hope yupo humu lol, coz nilimpenda sikumuambia ila nilikuwa najitahidi kubana for more rom ili akianza niwe mm niwe nakaribia mwisho wa siku sometimes if u real feel the guy unaweza fika kibo bila hata wakati yy keshafika na kapumzika na usingizi kalala, ila kama mkaka huna feelings na huko ndo kuachana njiani uwezakano wa kumtafutia raeson na kusepa ni mkubwa mno! no matter mkaka alivyo anaweza kumalizia mwenzio ni strategy n nia ya kufanya hivyo.
   
 20. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  mi nadhani tatizo hapa,ni maandalizi ya kupanda mlima ndio yanakosekana,
  maandalizi mazuri ni lazima pota awe mjuzi wa kutumia mikono kupanda mlima sio miguu tu, maana kilele cha Kibo kama mikono haiko fast utapanda kwa shida sana kwa kutumia miguu pekeyake sababu kubwa ni kushindanda na G (gravity) ambayo inakuwa inakuvuta kwa chini, ili uishinde G isikuangushe chini mikono muhimu hapa ,hivyo mshauri afanye sana zoezi la mikono kabla ya kuanza safari,

  la pili inaonekana pota yupo week kwenye mifupa, mwambie awe anakula munyu mkiwa njiani kwenda mlimani ili aongeze calcium, pia asisahau kunywa maziwa hata kama ni ya shida kupatikana

  cha muhimu kuliko vyote ni wewe kumsapoti kwakila zoezi analolifanya inakupasa kuwa mwalimu wakumpa mazoezi hayo na anapokosea mazoezi ya mikono na kiasi cha chumvi anachotakiwa kula wewe ndio unayestahili kummpimia, faida ya kufanya pamoja ni kuwa pale mnapoanza kupanda mlima mnatoka jasho kwa pamoja, na safari yenu itakuwa ya furaha na wala haitakuwa ndefu

  Vitu vya muhimu wakati mnapanda mlima
  1) communication=muwe mnaongea na kuelewana kama unakiona kilelele kiko mbali unamwambie mwenzio na mpunguze speed msije kuchoka bure na mkashindwa kufika
  2) keep close= muwe karibu ili mwenzio asikuache na akafika kileleni wakati wewe hujui njia
  3) Team work= hapa lazima wote mtumike sawasawa, hakuna kutegea, kama ni kubeba mzigo unabeba kisha unampa na mwenzio
  4) health and Safety= kwa usalama wenu muwe waangalifu sana kufatilia presha za mwenzio,kama unaona mapigo ya moyo yanabadilika kwa kukosa oksjeni basi mnasimama kidogo ili apoe kisha mnaianza tena safari, presa zinatakiwa kuwa sawa kwa wote wa kupanda mlima
   
Loading...