Kutoa uraia kwa wasomali tujifunze kwa wenzetu

Kyenju

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
4,621
1,706
Habari, tujadili hili. Kumekuwa na utaratibu wa serikali kutoa uraia kwa wageni. Ila kwa wasomali tuwe makini.
 
You might have a valid point mleta mada. Hawa ndugu zetu huwa Wanahamia nchi za watu kwa mwamvuli wa "Ukimbizi".
Wakishatulia baada ya kupata mapokezi na wenyeji,huwa wanabadilika na kutaka kubadilisha jamii kuwa ya kiSomali.
Najiuliza ni kwa nini Ulimwengu unawapa hii loophole ya UKIMBIZI!!??? Somalia inaudai Ulimwengu kitu gani??

Sina kitu baina ya Wakimbizi au Wasomali, Ila nina tatizo pale mkimbizi au Wakimbizi wanapopewa hifadhi katika nchi ya watu na kutaka kubadilisha tamaduni za wenyeji na kuleta machafuko. Pengine inaweza kuwa Jambo la busara kuweza kuwasaidia hawa jamaa wakiwa nchini kwao Somalia.

Kuna waSomali nawajua wamezaliwa hapa Tanzania ni mtu na kaka yake,kuna siku walitofautiana maneno katika hali ya kawaida...Aisee wacha wachomane visu. Kila aliyekuwa karibu alishangazwa na huo unyama wa hawa jamaa. Mind you ni mtu na kaka yake hao.

Kwa kweli inabidi kuwaangalia hawa Jamaa zetu.
 
kuna jamii za watu fulani zimezaliwa ili zipate shida.na wewe ukiwasaidia tu lazima uingie kwenye matatizo napmba serikali iwe makini
 
Wasomari hawasaidiki. Ni kujiletea matatizo juu ya matatizo. Walikwishapata uraia wanatosha. Hatubagui lakini penye ukweli lazima tuuweke wazi zaidi, na uongo tuubainishe. Wasomari wanafaa wakae nchini mwao. Siad Barrel alikuwa kiongozi anayefaa kuongoza Somaria. Bila udikteta watu hao hawawezekaniki. Tena udikteta wa kikweli kweli.
 
Mmeskia Leo huko Rukwa??? WamejitangaZia himaya Yao sasa hapo ndio tutajijua kugawa uraia hovyo...
Kenya Mombasa wasumbufu woote ni wasomali Kwa asilimia kubwa... Wamepewa uraia Kwa asilimia kubwa sana tangu zamani Ila mmmmh...!!! Wasanii kibao Wa Kenya ni wasomali but hawana shukrani hao jamaa... WAMEJITANGAZIA HIMAYA HUKO RUKWA
 
Habari, tujadili hili. Kumekuwa na utaratibu wa serikali kutoa uraia kwa wageni. Ila kwa wasomali tuwe makini.

hongera sana mleta mada, umeona mbali zaidi nina imani wewe ni hazina ya taifa .. keep it mkuu.
lkn kumbuka hii inchi uislam sasa hivi unapewa kipaumbele sana kutokana na uongozi wa juu kukumbatia udini. so wasomali lazima wapewe sana uraia ili kuongeza idadi ya uislam mkuu.... siku siyo nyingi tutaanza kulia.... eee god. rmb juzjuz tu nohodha alikua wazir wa ndan... nakwambia wasomali mamia wamelamba uraia mkuu. habari ndio hiyo
 
XENOPHOBIA,shame on you all.Mwalimu used to say :sisi sote ni ndugu na africa ni moja.Kwani aliyekamatwa na kichwa cha mtu juzi ni msomali?Ndugu yako akiunguliwa nyumba unamkaribisha kwa muda lakini you have to enocurage him ajenge nyumba yake haraka arudi kwake,lakini hiyo ikishindikana unaishi naye na kama hajaoa unamtafutia mke kijijini hapo aoe.,huo ndio ujamaa wa kweli na ndivyo tunatakiwa tuwe.
 
hawa jamaa wana roho ngumu sana, mapigano yao ni ya bunduki, wamezoea maisha magumu kwao....huku wanaleta ujambazi wa silaha tu.
 
wasomali ndio waliofanya tukawa tunatakiwa kuingia na viza Sweden walikuja huku wakapata passport baadae wakawa wanaenda Sweden wakifika airpot wanachana passport na kuomba hifadhi ya ukimbizi wakiangalia hawa watu wametokea wapi?Tanzania mwisho wakaamua kila mtanzania kabla ya kwenda lazima apate viza,kwa kifupi sio watu wema wana asili ya ugomvi angalia Rage kwenye uchaguzi wa Igunga pia wameshiriki kutorosha rasilimali zetu mmoja wao ni Kinana na wote mnakumbuka sakata la ujambazi arusha
 
Back
Top Bottom