Kutoa sadaka kubwa/kujenga kanisa si jawabu la kuokoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoa sadaka kubwa/kujenga kanisa si jawabu la kuokoka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 22, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Wapo watu wengi katika makanisa yetu ya roman lutheran wanajitahidi sana kutoa mali nyingi kutoa sadaka kubwa hasa wakati wa leta mazao galani wanajitahidi sana;vyema iwapo wewe ulikuwa mmoja wapo ni nzuri leo hii mungu amenituma kuja kukwambia anaitaji kuokoaroho yako ,kwanzawapo wanaokataa kuokoka wakiamini kutoa kwao mungu atawafikisha mbinguni wakiwfa la hasha,ewe baba ewe mama ukiwa ni mmoja wapo jaribu kuokoa na roho yako kutoa vitu vya thamani huku ukitenda ouvu,uzinzi,utapeli, unajidanganya ,rekebisha maisha yako badili mwelekeo wako achana na uzinzi,ulevi tamaa na mengine kama hayo ili ukabariki zile dhabihu ulizokuwa ukitoa kwa mungu
  mungu na awabariki
   
Loading...