kaisa079
Member
- Nov 16, 2007
- 20
- 0
Aisee watu wanachekesha sana,ati mtu aenda kutoa msaada mahali mpaka aite msululu wa vyombo vya habari,hivi kweli wana nian ya dhati hawa au ndo wanatafuta umaarufu?.Kwani ukitoa kimyakimya Mungu akakusifu hutajisikia vizuri? mimi nadhani wana 'primary'intention iliyofichika.Ni maoni tu jama msinizibe mdomo.Kumbukeni 'Tenda wema uende zako usingoje shukrani wala umaarufu!"