Kutoa Mchanganuo bora wa kuuza Biashara ya Gas Tanzania

Fildaus

Member
Mar 17, 2011
30
16
Hello kama inavyoeleza hapo juu changamkia fursa hii ya kutoa Mchanganuo wa kukuza na uendeshaji wa biashara ya Gas za majumbani. Hapa tanzania zawadi nono itatolewa kwa mshindi
 
Wewe ni nani,kampuni gani,unafanya kitu gani,uko mkoa gani! Eleza walau dodoso la plan ya biashara yako!!!

Sent using, Mashikoro Mageni
 
maelezo yako hayajajitosheleza mkuu, mana hujatambulisha kuwa ni gas ya aina gani, kiwango cha mtaji mana mwengine anaweza kufkiria ni billion ,mwengine millions ..be specific mkuu, upate ushauri kama unavyotaka.
Hello kama inavyoeleza hapo juu changamkia fursa hii ya kutoa Mchanganuo wa kukuza na uendeshaji wa biashara ya Gas za majumbani. Hapa tanzania zawadi nono itatolewa kwa mshindi

Sent using [Samsung galaxy s10]
 
Hello kama inavyoeleza hapo juu changamkia fursa hii ya kutoa Mchanganuo wa kukuza na uendeshaji wa biashara ya Gas za majumbani. Hapa tanzania zawadi nono itatolewa kwa mshindi
Huna lolote..una nia ya kuanzisha hiyo biashara na hujui abc zake sasa anataka kuziiba toka kwa wengine.

Si uombe ushauri wa hiyo biashara kistaarabu ukashauriwa!?
 
Umeajiriwa kwenye kampuni ya gas lakini inaonekana hujui kitu, tobaa salaleee.....

Hapo inabidi uwe competence kwny ishu za sales and marketing.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Au atakuwa anaenda kwenye interview kichwani mweupe hana kitu au anafanya research ya marketing kwa ajili ya digrii na kichwani hana kitu anataka msaada
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom