kutoa Maccafee kuweka Kaspersky 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kutoa Maccafee kuweka Kaspersky 2011

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by rakeyescarl, Oct 1, 2010.

 1. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wana JF ,naomba msaada, katika kutaka kuitoa Mccafee na kuweka kaspersky 2011 nimekuta inanipa error kuwa lazima nifanye uninstallation ya Maccafee, nimefanya hivyo lakini inaelekea kuna file la Mccafee ambalo limejificha,naomba msaada wenu kama kuna nnjia ya kuitoa manually.Nmimi sio mtaalamu sana,naomba layman's language.
  RE.
   
 2. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Pakua/download McAfee uninstaller program kutoka katika website hii:

  http://download.mcafee.com/products/licensed/cust_support_patches/MCPR.exe
  I-copy na kui-paste hiyo website ktk address bar ya browser unayotumia. Ikisha-download-ika, i-scan kwa kutumia antivirus uitumiayo katika computer yako. Ikaimaliza ku-scan, i-double click, kisha subiri McAfee iondolewe (waweza kufanya shughuli zingine). Baada ya McAfee kuondolewa, itatokea dialoge box ikikutaka u-reboot computer yako. Save au funga kazi ulokuwa ukizifanya kisha reboot/restart computer kukamilisha uondolewaji wa McAfee antivirus.
  Naona unataka kutumia Kaspersky antivirus, je, computer yako ina RAM ya kutosha????? Maana Kaspersky 2011 inahitaji kiasi kikubwa cha RAM (tembelea wavuti hii: Kaspersky Anti-Virus 2011 kujua mahitaji ya KAV 2011).

  KWA FAIDA ZAIDI
  Wavuti zifuatazo zitakuwezesha kutoa baadhi ya antivirus za kawaida ktk computer yako. Utaratibu ni ule ka unavyofanya katika kuondo McAfee.

  Avast:
  http://files.avast.com/files/eng/aswclear.exe

  Avira:
  Avira Solutions - Knowledge Base Problem Details

  AVG:
  AVG Worldwide - Download tools

  BitDefender:
  How to uninstall BitDefender

  CA:
  Knowledge Document - Unicenter ServicePlus Knowledge Tools

  CounterSpy:
  Sunbelt Software Support - Sunbelt Software Support

  F-Secure:
  View Support Knowledge Base Article

  Kaspersky:
  Removal tool for Kaspersky Lab products | Kaspersky Lab United States

  Panda:
  http://www.pandasecurity.com/resources/sop/UNINSTALLER_08.exe

  Symantec (Norton):
  ftp://ftp.symantec.com/public/english_us_canada/removal_tools/Norton_Removal_Tool.exe

  Trend Micro:
  How to uninstall my Trend Micro program using the Trend Micro Diagnostic Toolkit

  Webroot:
  How do I uninstall and reinstall my program?

  Windows Live OneCare:
  http://download.microsoft.com/download/4/c/b/4cb845e7-1076-437b-852a-7842a8ab13c8/OneCareCleanUp.exe

  ZIADA ZAIDI
  Tumia REVO UNINSTALLER software kufanya uninstallation ya program yoyote kutoka katika computer yako. Usitumie njia ya kawaida ya ku-ADD OR REMOVE program. Baadhi ya program inakuwa ngumu kuziondoa kwa njia hii ya ku-add or remove, ila kwa kutumia REVO UNINSTALLER hakuna program itakayogoma kutoka.
  Revo uninstaller inapatikana katika link hii: Revo Uninstaller Pro - Downloads.

  Pia kuna Revo uninstaller ya kubebeka (revo uninstaller portable), nayo inapatika kupitia link hii hapa:
  Portable Revo Uninstaller Download - Softpedia

  ZIADA JUU YA ZIADA
  Wakati mwengine bidhaa kutoka nero huwa zinakataa kutoka na hivyo kuleta matatizo katika computer yako likiwemo tatizo la kushindwa kusoma CD/DVD.
  Bidhaa kutoka NERO huwa zinaondolewa kwa kutumia NERO GENERAL CLEANING TOOL, inapatikana kupitia link hii hapa:

  Nero - Tools & Utilities

  Natumaini somo limeeleweka.

  :welcome: , kinyume chake pia ni sahihi
   
 3. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #3

 4. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2010
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 675
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 180
  Jaribu kuanza start->control panel->Add or remove program, kama ipo hapo uninstall.ikishindikana hapo anza start then All program ,angalia program zote kama ipo mcafee hapo angalia kama ina option ya ku uninstall. Ukishindwa hivyo nenda myComputer then go to drive C: kisha open folder ya program files then angalia folder ya maccafee kisha delete hiyo folder
   
Loading...