Kutoa kamisheni kwa wanajeshi Sheikh Amri Abeid,Arusha badala ya Monduli,je jinamizi la EL bado linamkaba JPM?

papaa musofe

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
842
1,475
Wiki hii JPM atatunuku nishani wanajeshi katika uwanja wa sheikh Amri Abeid

Tangu JPM aukwae uongozi amekuwa akiikwepa Monduli kama ukoma

Tunajua Monduli kuna kambi kubwa ya jeshi na maafisa wote, kikawaida walikuwa wanapewa nishani huko

Lakini sasa wanajeshi wanapewa nishani si kwenye kambi za jeshi bali hata kwenye Viwanja vya Mpira

Hivi JPM anamuhofia EL kiasi hiki? Sasa naamini kwamba EL ana nguvu ya kipekee

Lakini nishani hizi zinatolewa katika kambi ya jeshi,huko nako bado tu anahofia kivuli cha mmasai huyu?
 
Kuna wakati ilitolewa IKULU.
Tunaweza tukawa na mitizamo mingi tofauti lakini jambo moja ni wazi,kumekuwa na juhudi kubwa za kuonyesha ukuu (Mighty) ya vyombo vya ulinzi na usalama katika miaka ya karibuni.Hii inaashiria nini naamini wana saikolojia wakipenda watatueleza.
 
Kama ni mighty ya jeshi,basi pahala pake ni Monduli kambini,anapata na fursa ya kukagua makazi ya askari,mazingira ya kambi,na kufanya kikao na makamanda kujuta wana changamoto gani

Pia unaonyesha mighty wakati wanafunzi wanaomaliza baadhi ni wa nchi jirani?

Sasa huko kwenye uwanja wa mpira ni bure tu
 
Back
Top Bottom