Kutoa Huge Cash Over the Counter

Arsenal

Senior Member
Aug 12, 2008
190
71
Wataalam wa fedha;

Naomba kuuliza kama inawezekana, ivi ni lazima mtu kutoa hela kwenye account yake above 5m CASH?? ni kitu gani ambacho utaenda kufanya nazo bank ishindwe kuzituma uko??tukizingatia wimbi la wizi wa kuporwa hela na watu kuuwawa na pia forgery za banks through accounts to accounts using forged signatures kwanini BOT wasiiombe serikali ipitishe sheria au wao watoe mwongozo kuwa no more cash withdrawals above 5m over the counter!!! will this be possible to accomodate our real cash economy?? naomba ideas!
 
Mkuu wazo lako ni zuri sana. Lakini tatizo ni mfumo gani utatumika kulipana? Njia rahisi ilikuwa ni kutumia hundi lakini wa TZ wengi siyo waaminifu sana. Pengine sheria ichukue mkondo wake pale itakapo bainika kuwa mtu umetoa hundi ambayo haina pesa, au umeandika tarehe visivyo ili mradi tu ucheleweshe malipo. Nato hoja mkuu
 
account to account e.g unataka 15m kwenda nunua gari itakubidi ulete account number ya uyo mtu au showroom then wanatuma by bank to that customer au ukitaka kulipia rent same itabidi ulete account ya mwenye nyumba etc...u think itashindikana???
 
Ndiyo, inawezekana kutoa zaidi ya Sh 5m over the counter. muulize RA atakwambia. Miezi ya mwishoni ya mwaka 2005 aliweza kutoa mabilioni ya shilingi over the CRDB counters from six different accounts -- hela zilizotoka BoT akaunti ya EPA.

Inasemekana alifanya hivyo usiku kupitia milango ya nyuma ya benki iliyofunguliwa kwa ajili hiyo.
 
Kwa hali ya mazingira na uchumi wa tanzania hicho hakiwezekani kwa sasa kwani kuna sehemu ambako hawana benki na wanaitaji pesa hasa vijijini. kwa mfano wanunuzi wa mazao lazima watoe up to 200 Milini kwa ajiri ya kuwalipa wakulima wasiokuwa na aacounts benki.

Mfumo mzima wa kufungua accounts benki, folleni zilizoko benki, umbali wa kupata huduma ya kibenki na matatizo ya usafiri yote hayo yanafanya kutowezekana kuwa na kitu unachosuggest.
 
Arsenal,

A very good question on why we still feel an urge to withdraw large sums of cash to make payments while we could easily use checks, ATM card or open an invoice!

Lets send your question to Benno Ndulu or Charles Kimei!
 
we need to start somewhere mana kila kitu kina mwanzo, kwa wale wa vijijini na wakulima hela nyingi za nini? ata akipewa hiyo 200m anaenda wapi na kuzifanyia nini??? kama mbolea au trekta c vitalipwa na benki directly???? i can understand kama atataka 1m,2m,3m cash thats fine but not more than.
Kufungua account kwa vijijini they can use barua ya utambulisho toka kwa m/kiti wa mtaa pamoja na ID ya kupigia kura,dole gumba etc ect....hii kitu ikiwezekana ata wizi wa BOT ungeshindwa mana utazitoaje hela ukaweke kwenye godown mikocheni au temeke??? kuna vitu vingine uku afrika u need to force ndo viwezekane i agree italeta usumbufu kwa wakulima kupanga safari mpk to the nearest branch or bank but in the long run its good for everybody na economy....
 
Mambo ya ku-copy ulaya na america na ku-paste africa sometimes yanamatatizo, wenzetu wako juu kwenye technology hata banking system zao ziko juu, sisi huku bado hatuwezi kwenda sawa na hao jamaa in a same speed nah!

Us is over 200 years old we are not even 50 years old.

MJ
 
Mambo ya ku-copy ulaya na america na ku-paste africa sometimes yanamatatizo, wenzetu wako juu kwenye technology hata banking system zao ziko juu, sisi huku bado hatuwezi kwenda sawa na hao jamaa in a same speed nah!

Us is over 200 years old we are not even 50 years old.

MJ

Mambo Jambo, this is a poor and primitive excuse kuwa wao ni 200 na sisi ni 50 years!

Wao walitumia mbiu hizi 200 years ago, leo hii wamefanya mapinduzi ya kielimu na utaalamu na wanatumia mbinu bora, kwa nini sisi tunang'ang'ania Ujima? Why import old technology and not current technology? is it about costs? mbona costs za old technology over time ni kubwa maana kunakuwa hakuna progressive movement on production?
 
Back
Top Bottom