Kuto do kuna madhara yoyote kiafya?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau naomba kujulishwa je kutofanya mapenzi(kutojitoa kabisa tangu utoto had ukubwani) kuna madhara yoyote kiafya? Nawasilisha.
 
kama kuna madhara basi hata watoto kuanzia day one hadi wanapopevuka wangedhurika.
 
Hakuna madhara mkuu,kwasababu unakuwa umeukinda ujana wako
 
Hakuna madhara mkuu,kwasababu unakuwa umeulinda ujana wako
 
wadau naomba kujulishwa je kutofanya mapenzi(kutojitoa kabisa tangu utoto had ukubwani) kuna madhara yoyote kiafya? Nawasilisha.
hakuna madhara yoyote.na wale wanaosema kuna madhara ni maajenti wa shetani tu wanatumiwa ili waamasishe uzinzi na zinaaa duniani ila mungu akumuumba mtu iliapate shida kwa kufanya au kutofanya kitendo hicho na vitabu vyote vya dini vinasema hivyo.nawasilisha
 
hakuna madhara yoyote.na wale wanaosema kuna madhara ni maajenti wa shetani tu wanatumiwa ili waamasishe uzinzi na zinaaa duniani ila mungu akumuumba mtu iliapate shida kwa kufanya au kutofanya kitendo hicho na vitabu vyote vya dini vinasema hivyo.nawasilisha

mkuu mbona kama vile unahubiri? Toka shetani.....nasema toooooooooka shetani
 
kufanya mapenzi ni sehemu ya kuboresha afya, wataalam wanashauri kufanya mapenzi angalau kwa wiki mara tatu, hii itakufanya uwe active 100% na akili yako itakuwa inafanya kazi mara mbili zaidi, na pia unapaswa ufanye mapenzi kwa muda maalum na kwa staha haswa mapenzi bora ni yale
Yanayofanyika asubuhi baada ya kumka na kabla ya kufanya chochote. Ila unapaswa usifanye kama ni mashindano, goli moja au mawili yanatosha sana
 
Kuna madhara mkuu...siku utakuja kudondoka usiamke tena! nakumbuka wakati nasoma high school, tulienda ku-donate damu...classmate mmoja baada ya kupimwa akaulizwa na nurse mara ya mwisho umefanya mapenzi lini...jamaa akasema hajawahi!....nurse akamwambia afanye hima amtafute demu wa-do...as in jamaa alionekana kuwa na damu nzito mno kiasi cha kutishia afya yake.
 
Kuto kufanya tendo la mapenzi kwa muda mrefu kunaleta madhara katika mwili, huenda ukapata maradhi ya wasiwasi Maradhi ya kutojiamini au kuwana hasira hasira za ovyo bila ya sababu. Kutofanya mapenzi kunaleta mwili wako kuwa mzito,Depression, Stress, kuwa mtu mwenye huzuni ya moyo bila ya sababu na wazimu huenda ukapata ukikaa muda Mrefu bila ya kufanya tendo al Mapenzi .
 
aisee! Itabidi unilipie bili ya hospital, maana umenivunja mbavu zangu zoote!
Mkuu humu ndani ya Jamii forums kuna Walokole na Tabia ya walokole huwa hawajifichi popote tu wao hutangaza mambo yao ya Dini. Mimi ninasema tena hili ni jukwaa la J.F Doctor hatutaki mambo ya dini humu kwenye hili jukwaa la J.F. doctor Msituchanganye akili zetu . Mkuu Moderator ukiona mtu analeta mambo ya dini kwenye hili jukwaa la J.F doctor nakuomba bora umufungie asiweze Kuingia kwenye hili jukwaaa ukitaka mambo ya dini Tafadhali nenda hapa bonyeza https://www.jamiiforums.com/dini-imani/

j
amani msilete mambo ya Ulokole hapa tupo kuelimishana kuhusu mambo yanayohusiana na afya ya Mtu sio mambo ya Dini nawasilisha mie.
 
Back
Top Bottom