Elections 2010 Kutibua ushindi wa mezani wa JK, Chadema idai kura za Urais zirudiwe kuhesabiwa.....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Mimi siamini kama kuna mtanzania anayejua ni nani chaguo la watanzania katika kura za Uraisi na uchakachuaji umefanywa na NEC wakishirikiana na wasimamizi wa uchaguzi majimboni............

Majimbo mengi hata idadi ya waliopigakura ya Uraisi ni kidogo ukilinganisha na idadi ya kura za wabunge kwenye majimbo hayo hayo...........there is something fishy here........ na jinsi ya kumpa uhalali huyo atakayekuwa Raisi wetu na asionekane ni matunda ya uchakachuaji Chadema ni vyema ikadi maboksi yote ya kura yarudiwe kuhesabiwa na haki iweze kutendeka na kuonekana ikitendeka..................

Haki hii Chadema wakaidai mahakama kuu ili kuilinda demokrasia yetu ambayo CCM sasa inaihatarisha mno na hata kutishia amani na usalama wetu.......................

Hatua hii itasaidia uanzishwaji wa TUME HURU ya uchaguzi......vinginevyo kila uchaguzi tutabaki kusononeka kuishia kuongozwa na viongozi ambao siyo chaguo la wengi hata chembe..................
 
Ushauri mbovu. Think again. Kuhakiki hesabu ni afadhali kuliko kuhesabu! Pole.
 
Haya matokeo ya Urais yanayotolewa na Nec hata mwendawazimu hatakubaliana nayo,nawataadharisha nec hii gharama watailipa,Katika wall paper yake kwenye facebook,Dr.Slaa ametutaka tuvute subira atatoa tamko soon na ndo tunachokisubiria.
 
Nimekuwa nikifuatilia matokeo hasa ya uraisi. There is something fishy going on, hata watangazaji wa ITV ukiwasikiliza ni kama vile wanafuata script fulani hivi na kuashiria wazi ni upande gani wanaoupendelea. This is a charade!
 
hebu kila moja apigie simu bibi/baba/babu/mama yake kule kijijini kwao aulize alipigia kura nani? jibu utakalolipa basi hutashangaa kwa nini JK kashinda vijijini kwa mbali hivi. I did.
 
Chama cha walokole kinaanza kukosa ustaarabu kama kawaida yao!!!
 
Chama cha walokole kinaanza kukosa ustaarabu kama kawaida yao!!!

Bull means Ng'ombe na akili zako kama ng'ombe, CCM chama cha mafisadi, wajinga, uneducated, low educated na ng'ombe kama ww, sijui kama hata unajua jina lako maana yake, jina ni kitu kikubwa sana, inatakiwa ufungwe jembe la kukokota ukalime, ur Bullshit
 
Back
Top Bottom