Kuteuliwa kwa Mbatia ni Kuongeza Nguvu dhidi ya Chadema Bungeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuteuliwa kwa Mbatia ni Kuongeza Nguvu dhidi ya Chadema Bungeni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by UTAJUA, May 4, 2012.

 1. U

  UTAJUA Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mchezo mkali sana uliochezwa,.. ni Kweli Mh.wetu ana lengo zuri la kumteua Mbatia kuwa Mbunge?, au ni mbinu ya kutaka kupooza makali ya Chadema ndani ya Bunge?, au ni mbinu ya kutaka kuwageuza wana NCCR walioamua kuhama kwenda Chadema baada ya kuona kiongozi wao na Chama kupoteza Muelekeo?,.... Itajulikana.
   
 2. H

  HIPPO Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Ni kuongeza changamoto no mawazo mapya kwa vijana
   
 3. e

  environmental JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  sereka inaweza kutunisha misuli yake kwa kwa Chadema kupitia Mbatia lakini kila jema na baya litaonekana hamna hujuma inayofichika. Time tells, wakati ukuta
   
Loading...