Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

hii ya ukerewe imekaaje? Hebu itolewe ufafanuzi maana ni kweli ni gazeti la mtanzania ndilo lililochapisha kwa kirefu habari ya kuwepo kwa chuo cha ugaidi huko ukerewe
 
Sidhani kama Nape unamwogopa mungu, ungelikuwa unamwogopa huyu mungu hakika usingeandika uliyo yaandika.
Huyu ndugu yetu Kibanda likosa niini? hata Mnauye uzungumze kwa kejeli kiasi hichi? Nauye hutokaa usimame milele utakuwa mtu wakuropoka mpaka uombe uma samahani, emwenyezi Mungu mtizame Nauye Na rizi wewe wajua utakachofanya.AMINA
 
IPO SIKU WATAMEZA MANENENO YAO,yuko wapi mtato wa Ghadafi,Hosn mubaraka,waliishi kifahari sana,leo wanaishije,waombe wasiichi maisha marefu
 
Hawa jamaa wana weweseka sana bila shaka wanaweza wakawa wana husika kabisa!

Hivi kama wana ushahidi kwa nini wasiupeleke hili wasaidie polisi?

Bila shaka wanataka kuficha ukweli kuwa serikali ina mkono wake! Na huyu Ridhiwani kikwete amesha ambukizwa kuropoka kama Nape Nnauye na mwanae Mtela Mwampamba!

Wanaogopa nini kuwakamata wahusika kama wana wajua?
 
Last edited by a moderator:
Mimi siyo mnazi wa maandamano lakini nikiyatafakari yanayotokea nchini kwa sasa najisikia kuchemka! Hivi tume ya kuchunguza kutekwa na kuteswa kwa dr ulimboka iliishia wapi? walipuaji wa mwangosi si wanatamba hata kuwapiga picha haiwezekani! Halafu nchi hii itajuta kumchagua kikwete badala ya candidate aliyetarajiwa Dr salim ahmed salim.....Kwa vyovyote vile tutajuta watanzania kwa sababu sasa hivi Rais kikwete ana makamu watatu wa rais; Dr Bilalal, Salma Kikwete na Ridhiwan Kikwete. Hapa wanaotawala na Kisikilizwa ni salma na riz; bilal yeye anachukua chake mapema na kukamilisha mission nyinginezo zisizo na maslahi kwa taifa hili. mtoto wa mkulima hana chake katika uongozi. Ninamuomba mch mtikila awashitaki salma na riz maana hawana kinga kama jk. nimemtaja mtikila kutokana na weledi wake katika mamabo ya sheria, La sivyo tutajuta!
 
nimesoma gazeti la tz daima la leo ukweli nimelitoa thamani hili gazeti tena sana ni bora hata magazeti ya udaku lakini hili gazeti liko moja kwa moja kwenye mfumo wa uchochezi na kupindisha ukweli wa mambo.. kwanza napata tabu na elimu ya mhariri wa gazeti la tz daima kama kweli anaweledi wa uandishi wa habari au ni kachanjanja tu anaandika kinachoelekezwa na mwenye gazeti hilo .............. kwenye mtandao wa fb wengi na wapo watu wanaingia na id ya majina ya watu wengine na majina mengine ni ya kutunga .... leo habari ambayo huna uhakika kama ni ridhiwani au nape kasema unakuja kuiweka kwenye ukurasa wa mbele na ref yake facebook!!!!!! hata kama tz daima liko kisiasa kwa ajili ya kuipaisha chadema lakini kuna umuhimu wa kuhakiki habari mnazozitoa .... juzi juzi wametoka omba radha kwa taarifa ya uongo kuhusu kufukuzwa kwa mwema,nchimbi wasira... na taarifa nyingi za uongo mwindishi anakuw ni" na waandishi wetu"
na Waandishi wetu

amka2.gif
TUKIO la kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa vibaya kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) Absalom Kibanda usiku wa kuamkia Jumatano wiki hii, limechukua sura mpya baada ya mtu aliyejitambulisha kama Ridhiwani Kikwete akitumia ukurasa wake wa mtandao wa facebook kutoa maneno ya kejeli, akihoji kama nae ametekwa na Ikulu.

Kwanin chama kilichoongoza kutoa matamko kwenye media kuhusiana na tukio la ulimboka wapo kimya kwenye tukio hili la kutekwa na kupigwa kwa Absalom Kibanda ????.wapi mnyika,slaa,mbowe,mbilinyi,lema,msingwa,wenje,heche???
 
kwakweli inasikitisha sijui nchi yetu inaelekea wapi sasa yaan mtu anamuumiza mwanadamu mwenzie bila hata ya kuwa na hofu hata chembe duuh its so rediculous
 
We ndo unajua ukweli co,bashe nae ni mpotoshaji alivyomwambia Riz aache kutumia vibaya mageti ya ikulu?mbona huyazungumzii magazeti yenu ya kufungia vitumbua uhuru na mzalendo yanavyoandika habari kishabiki.
 
Kwanin chama kilichoongoza kutoa matamko kwenye media kuhusiana na tukio la ulimboka wapo kimya kwenye tukio hili la kutekwa na kupigwa kwa Absalom Kibanda ????.wapi mnyika,slaa,mbowe,mbilinyi,lema,msingwa,wenje,heche???
waseme nini wakti wao ndio wahusika
 
Duniani tunapita kuna maisha baada ya kifo , sasa wanao tutesa Leo kesho watataabika muda mfupi ujao .
 
Inasikitisha,inaudhi na inachochea hasira ndani ya mioyo ya Watanzania wapenda haki.

Nnape na Riz1 wanajua nini kinaendelea hapo katikati. Surely they know because they are part of the system.
Riz1 hajakurupuka tu kuandika huu uharo wake kwenye Facebook na huyo rafiki yake Nepi naye hawezi kubwabwaja tu bila ya kuwa na uhakika wa kile kilichomtokea Absolom Kibanda!!!

God knows for sure that there is someone,some people,somewhere have done this torturing to Absolom Kibanda. Riz1 and Nepi wanajua pia what is going on!!!

Ni upumbavu kuwalaghai Watanzania kwa Jeshi la Polisi kujifanya linaunda tume ya watu 4 kuchunguza upuuzi huu ambao umepangwa na watu haohao!!!Nasema hivi kwasabau kuna SWALA LA DR.ULIMBOKA LINALOFANANA NA HILI KWA ASILIMIA 99.9999 LAKINI MPAKA LEO HII HAKUNA KINACHOENDELEA ZAIDI YA POLISI KUFANYA PROPAGANDA NA KUWAFANYA WATANZANIA KUWA NI MAJUHA NA MABWEGE MTOZENI!!!!GAZETI LA MWANAHALISI LILIJARIBU KUWEKA USHAHIDI WAZI KABISA WA WATUHUMIWA WALIOHUSIKA KUMTEKA DR.ULI LAKINI LIKAISHIA KUFUNGIWA NA LEO HII RAMA IGHONDU ANAENDELEA KUTESA IKULU!!!KIBANDA NAYE AMETAJA HAWA WATESI WAKE KULIKUWA NA "AFANDE"!!!!SASA HUYU AFANDE NI WA JESHI GANI???POLISI,JWTZ,FFU,UWT,MGAMBO AU NI YUPI????IF PEOPLE CAN READ BETWEEN THE LINES THEN.......................!!!!!!!

SALAMU ZANGU KWA RIZ1, RAIS KIKWETE,NAPE NA SERIKALI YAO YA CCM NI KWAMBA UHALIFU HAULIPI CHOCHOTE!!MUNGU TUNAYEMWABUDU NI MKUU SANA NA KUNA SIKU ATAWEKA KILA KITU WAZI!!!TUNAJUA MCHAKATO WA KATIBA MPYA UNAENDELEA NA MWAKA 2015 SIYO MBALI SASA TUENDELEEE KUOMBA MUNGU ATUWEKE HAI MPAKA WAKTI HUO HALAFU TUJUE KAMA KWELI HAYA MNAYOWAFANYIA WATANZANIA YATAWAFANYA MUENDELEE KUTAWALA NJI HII!!

MUNGU SI RIZ1, SI KIKWETE WALA SI NAPE. WAKTI MWINGINE MALIPO YANAKUWA HAPAHAPA HATA KABLA YA KIYAMA!
TUSUBIRI!!!
 
Tanzania Daima ni mali ya nani? Wanao shakiwa kufanya haya madudu ni kina nani. Wanajaribu kutupoteza tu hawa.
 
We ndo unajua ukweli co,bashe nae ni mpotoshaji alivyomwambia Riz aache kutumia vibaya mageti ya ikulu?mbona huyazungumzii magazeti yenu ya kufungia vitumbua uhuru na mzalendo yanavyoandika habari kishabiki.

That's a matter for another thread..

Nipo town nalisaka hilo gazeti na mimi nijihakikishie walichoandika. But in case kama kweli wamefanya reference facebook bila verification ya user account Mhariri atakuwa na walakini!!!
 
Mwenyekiti wa Chama Mhe. Freeman Mbowe alifika Muhimbili na aliongea na waandishi wa habar na kutoa tamko kuwa huo ni uharamia na serikali ichukue hatua pamoja na matukio mengine kama hayo ikiwemo la Ulimboka. Na pia Katibu Mkuu Dr Slaa ni mmoja wa viongz wa juu waliomsindikiza Kibanda airpot. Acheni propaganda zenu, someni zaidi. ------
 
nimesoma gazeti la tz daima la leo ukweli nimelitoa thamani hili gazeti tena sana ni bora hata magazeti ya udaku lakini hili gazeti liko moja kwa moja kwenye mfumo wa uchochezi na kupindisha ukweli wa mambo.. kwanza napata tabu na elimu ya mhariri wa gazeti la tz daima kama kweli anaweledi wa uandishi wa habari au ni kachanjanja tu anaandika kinachoelekezwa na mwenye gazeti hilo .............. kwenye mtandao wa fb wengi na wapo watu wanaingia na id ya majina ya watu wengine na majina mengine ni ya kutunga .... leo habari ambayo huna uhakika kama ni ridhiwani au nape kasema unakuja kuiweka kwenye ukurasa wa mbele na ref yake facebook!!!!!! hata kama tz daima liko kisiasa kwa ajili ya kuipaisha chadema lakini kuna umuhimu wa kuhakiki habari mnazozitoa .... juzi juzi wametoka omba radha kwa taarifa ya uongo kuhusu kufukuzwa kwa mwema,nchimbi wasira... na taarifa nyingi za uongo mwindishi anakuw ni" na waandishi wetu"
na Waandishi wetu

amka2.gif
TUKIO la kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa vibaya kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) Absalom Kibanda usiku wa kuamkia Jumatano wiki hii, limechukua sura mpya baada ya mtu aliyejitambulisha kama Ridhiwani Kikwete akitumia ukurasa wake wa mtandao wa facebook kutoa maneno ya kejeli, akihoji kama nae ametekwa na Ikulu.

nani kakuloga?
 
Back
Top Bottom