Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 233
- Thread starter
- #41
sijawahi kumkubali kubenea hata siku moja maana, kuna wakati alitumika sana kumchafua zitto, akajakuhamia kwa membe akamchafua sana, akatoka hapo akahamia kwa kwa lowassa, akamwandika saaaana.... huyu jamaa huwa anabadilika kutoka na ufadhili anaopata wala haandiki ukweli kama ambavyo jamii inamtizama. take time to make your brain busy to think all these events
Mkuu: Kuwachafua au kuwaambia ukweli? hao wote uliotaja ni maadui wakubwa wa ukombozi wa Watz. Be careful please! Kubenea hana mpaka, hana swahiba. Hata Mengi walikorofishana kwa kuwa alionekana kutomkosoa JK kuhusu ufisadi serikalini.