Kuterekeza majeneza barabarani ni uungwana.?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Serikali imeshindwa kuongoza wilaya Tarime.? . na badala yake sasa imekuwa kama ni visasi kati ya wananchi na DOLA. hivi kweli hawa wakuu wa jeshi la polisi hata kama unatumika kisiasa hawana hata ubinaadamu hata chembe..? wao hatokufa (kuuawa) na mmmeua watu iweje basi maiti mzitupe kama mizoga ya kiumbe kisicho na thamani.......? hali ya kuwa wahusika wapo na wamezifuata maiti zao.:mod:
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom