Kutengwa kwa Watu wenye Ulemavu mahali pa kazi hugharimu Tanzania Dola milioni 480 kila Mwaka

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Kwa mujibu wa CCBRT kutengwa kwa Watu wenye Ulemavu mahali pa kazi, ama kwa Ubaguzi au Mazingira ya Kazi yasiyofikika kunaigharimu #Tanzania Dola milioni 480 (Tsh. 1,104,726,985,383) kila Mwaka - 3.76% ya Pato la Taifa

=======================

The exclusion of people with disabilities from the workplace, either through discrimination or inaccessible work environments, costs Tanzania $480 million every year - 3.76% of the country’s GDP.

People with disabilities often live in severe poverty due to the challenge of securing a steady income amid widespread exclusion. With only 3.1% receiving income from paid employment, households headed by persons with disabilities experience greater levels of poverty.


CCBRT
 
Kweli Kabisa tunatengwa Sana hasa Kwanza kupata Ajira zenyewe. Nadhani wanasiasa wanatumia tu NENO AJIRA kwa Sisi walemavu ni kwaajili ya kujipatia Kura.

Kwani walemavu Sio wengi ambao tumesoma. Serikali ingesema tu tupewe Ajira kulingana na Viwango vyetu vya Elimu nadhani wangepunguza utegemezi na Umaskini kwetu walemavu.

Naomba serikali iwe Kweli Serious na Maisha ya Sisi Watu wenye Ulemavu.

Especially Kufanya mabadiliko ya Kwenda Sijui Interview Dar, Interview za Watu wenye Ulemavu tufanyie mikoani.
Watakuwa wametusaidia Sana
 
Back
Top Bottom