Kutengeneza sabuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutengeneza sabuni

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Nkoboiboi, Oct 29, 2010.

 1. Nkoboiboi

  Nkoboiboi JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tafadhali wana jf wenzangu anayewezakunifundisha kutengeneza sabuni naomba tuwasiliane haraka. Nina siko kubwa
   
 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 9,633
  Likes Received: 2,499
  Trophy Points: 280
  utababua watu ngozi zao uache majaribio na afya za watu kwani wewe ni Mkemia mpk ufundishwe kutengeneza sabuni fanya biashara nyingine mzee!
   
 3. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tehetehetehetehetehetehetehetehetehe. Nimecheka mpaka basi. Umeniboreshea afya yangu kwa kunifanya nicheke.
   
 4. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,351
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  upo wapi?una mtaji kiasi gani,je unataka kutengeneza ya maji au kipande,je ni medicated soap au ya kawaida.
  unatarajia kutengeneza kwa machine au mkono.
  mimi nilikuwa na kiwanda cha sabuni,tatizo ni mali ghafi kwa dar-es-salaam.
  kuna mtaalam wa sabuni anaweza kutengeneza sabuni.
   
 5. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Muzeiya karibu sana katika ukumbi wa ujasiliamali katika nyanja hiyo niko bomba ile mzuri waweza kinipata kwa {safariwafungo@yahoo.com} tuwasiliane tuweze fanya kazi mzee, na kwa wale wenye kutaka ku-invest in manufacturing industry and the like please let work together i have a huge exposure academically and in experience wise!
   
 6. a

  aminimaadhi New Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutengeneza sabuni ni kupata malighaafi kama Alkali, mafuta, n.k Kama uko serious nitakupa formula zote
   
 7. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu nakubariana na wewe kwa kiasi fulani, ila kuhusu kumpa mtu formula that is not a good idea, kwasababu hizo malighafi zinautofauti mkubwa wa ubora wake kulingana na source yako kwa wakati huo ni ipi au imehifadhiwa vipi, hii ni kwa uchache tu, kimsingi unapoamua kujikita katika bzness is better product yako ikawa consistence within the market, kwasababu ndicho wanacho hitaji walaji, sasa kama kuna variation katika malighafi ni ndoto kuwa na consistence katika product yako. Jamani hizi ni fani za watu hivyo ni vyema zikachukuliwa kwa umakini zaidi. Sasa nini kinatakiwa kufanywa, ni kuwawezesha wajasiliamali wawe nauwezo wa kufanya formula project, cost estimation na vitu kama determination of selling price, sasa kwa yule aliye tayari na mkaribisha tufanye kazi and to experience the difference!
   
 8. Charles1990

  Charles1990 JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mzee wazo lako tamu sanaaa!Upo mkoa gani?Mi ninaweza kukusaidia katika maswala mawili matatu(capital,sehemu ya kutengenezea,tena ipo mjini kabisa,na maswala ya matangazo)kama soko tayari unalo sio tabu.Kama upo tayari niwe biz partner wako nicheki hapa:Charleschami@yahoo.com.Au 07634391661
   
 9. Cathy Duncan

  Cathy Duncan Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well, one can search more of such soap making formulas online as well but get to know that these are reactive so be careful during its making process.
   
 10. t

  tengezza New Member

  #10
  Dec 24, 2012
  Joined: Dec 24, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hello wana jf
   
 11. t

  tengezza New Member

  #11
  Dec 24, 2012
  Joined: Dec 24, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka habari, vp uluishapata mtu wa kukufundisha kutengeneza sabuni?
   
 12. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,422
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Mkuu mimi sina mtaji, ila kama kuna tenda, tafadhari niajiri(DAR),
  vilevile sabuni zipo za aina nyingi hivyo utengenezaji na malighafi hutofautiana kidogo, kutokana na na aina unayohitaji!

  SABUNI NGUMU
  Sabuni hii inatumika kuondoa uchafu mgumu

  Pima maji vipimo 5 ktk chombo cha plastik kikubwa
  ongeza sodium hydroxide kipimo 1
  acha mchanganyiko uchanganyike vizuri hadi uanze kupoa.
  Ongeza mafuta vipimo 6 kwenye mchanganyiko wako huku ukikoroga bila kukoma hadi dakika 60.

  Kabla sabuni haijawa ngumu sana, ongeza vipimo 2 vya kaolin iliyochekechwa vizuri kama kaolini haipatikani unaweza kutumia majivu ya kuni yaliyochekechwa vizuri
  mimina sabuni kwenye kifyatulio(plastic) na baada ya kuganda ikate vipande kasha iweke sehemu safi ikauke taratibu hadi ndani ya wiki 12 sabuni itakuwa tayari kutumika.

  Vipimo vyote ni kufuatana na idadi ya sabuni unayotaka na chombo unachopimia
  Mfano unatumia kipimo cha Lt 1,
  Utapima maji lt 5 sodium hydroxid lt 1 vivyohivyo kwa vipimo vikubwa!

  TAHADHARI-
  Sodium hydroxide {NaOH} ni hatari.
  Lazima iwekwe mbali na mahali wanakofikia watoto.

  *Kama mtoto atameza sodium hydroxide ni lazima apewe maziwa mengi au kikombe 1 cha mchanganyiko wa juisi ya limau/siki na vikombe 20 vya maji.
  *Sodium hydroxide hushambulia ngozi, kuwa mwangalifu kila mara unapotengeneza sabuni, nawa mikono vizuri, hali ya unyevu katika hewa huibadili sodium hydroxide kuwa kimiminika hivyo ni rahisi kudhuru ngozi yako.
  *Sodium hydroxide hushambulia aina zote za metali, hivyo tumia vyombo vya mfinyanzi hii itasaidia na kama vyombo vya mfinyanzi havipatikani tumia aina nyingine ya vyombo vya plastiki.
  Ni lazima sodium hydroxide {NaOH} ihifadhiwe vizuri kwenye vyombo visivyopitisha hewa.

  MAANA YA MANENO
  Kaolin ni udongo mweupe wa mfinyanzi unaopatikana mtoni. katika Africa hutumika kupamba kuta za nyumba .
  Sodium hydroxide NaOH ni kastiki.
   
 13. e

  ellyrehema JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2013
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 661
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 80
  Guys mi ndo kwanza nimemaliza course ya ujasiriamali leo hii so kwa anayetaka kufanya kazi na mm namkaribisha mimi naweza kupata mtaji kirahisi but sina nafasi ya kufanya shughuli hizi na niko serious kuanza production hapa nafanya mchakatso wa kutengeneza machines
   
 14. Ngamba

  Ngamba JF-Expert Member

  #14
  Dec 9, 2013
  Joined: Jun 6, 2013
  Messages: 658
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Jameni hebu tuache utilitiba hii kitu ni lahisi tu na kama kweli jamaa katia nia ni bola apatiwe maelekezo pamoja na onyo ili ajue kuwa vitu anavyofanya vyaweza kumzuru, sio ee hii kitu ya wenyewez? Its the mind which work and not nguvu
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Dec 9, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,118
  Likes Received: 3,953
  Trophy Points: 280
  Mtafute mjasiriamali kwanza. Vinginevyo ni pm mchana nikuuzie formula kila mtu afe na chake.
   
 16. Pastor Achachanda

  Pastor Achachanda JF-Expert Member

  #16
  Dec 10, 2013
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 3,006
  Likes Received: 932
  Trophy Points: 280
  MI naulizia vifaa\mashine upatikanaji wake ukoje?
   
 17. LuisMkinga

  LuisMkinga JF-Expert Member

  #17
  Dec 10, 2013
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 763
  Likes Received: 506
  Trophy Points: 180
  mnajua mnapocoment wengine tunasoma tupo kwenye folen za strabag tunaonekana vchaaa haswa kama watu wamesimama kwenye daladala weye umekaa den unaangua kcheko.... Hahaha nimeona folen fup kha
   
 18. serio

  serio JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2015
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,600
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  umefikia wapi baada ya kumaliza kozi..
   
Loading...