comesucces
Senior Member
- Feb 21, 2017
- 160
- 105
Duuuh hadi raha
mkuu kama unaweza kutusaidia hayo mabwawa hata kwa picha tu hapa ingekuwa njema sana!Kuna mabwawa ya kisasa yakuhamishika na mtoto sio rahisi kutumbukia,na linahamishika sehemu yeyote ile.ukiitaji kuyaona ni pm namba yako.na vifaranga nitakupatia pia vya sato
Mkuu Kuku wangu waliougua ni wakubwa na nimehangaika nao kweli Jana niliamua kuwachinja wote 22 hakukua na namnaMm sio mzoefu sana, ila Hilo tatizo kwa kumbukumbu yangu ni kama upungufu wa vitamin A......na hasa huwapata Kuku wakiwa bado wadogo kati ya wiki nne na kuendelea. Unawapa majani!? Uliwapatia mult-vitamin
Pole Sana Kwakuchukua uamuzi mgumu lakini hapo utakuwa kama umekimbia tatizo haujasovu tatizo ulitakiwa ufuatilie TIBA hadi Uone mwisho wake Na baada ya hapo Ungekuwa umejifunza kitu kikubwa sana Kwa maana ya TIBA SAHIHI Na ungekuwa mzoefu kukuwengine wasinge KUPA tabu.Mkuu Kuku wangu waliougua ni wakubwa na nimehangaika nao kweli Jana niliamua kuwachinja wote 22 hakukua na namna
Haya mambo yanachanganya Mkuu yaani ukilala hupati usingizi maana unawawaza kesho asubuhi nikiwakuta wamekufa itakuaje!! Nikaona ili kuwaokoa wale wengi waliobaki bora niwachinje hawa wachache ili nami niepuke hasara bora kuwauza nyama,ila shukrani sana kwa neno lako next time nitafuatilia hadi nione mwisho wa tatizoPole Sana Kwakuchukua uamuzi mgumu lakini hapo utakuwa kama umekimbia tatizo haujasovu tatizo ulitakiwa ufuatilie TIBA hadi Uone mwisho wake Na baada ya hapo Ungekuwa umejifunza kitu kikubwa sana Kwa maana ya TIBA SAHIHI Na ungekuwa mzoefu kukuwengine wasinge KUPA tabu.
***kuhusu mafua wape piriton ni dawa nzuri sana kwa kuku
Serious kivipi.ndo ukweli wenyewe .sio masihara.fanyia utafiti uje ulete mrejeshoMkuu Please be serious
Najaribu kuweka picha inakataa.nitumie namba yako nikutumie uyaone.na maelezo yakemkuu kama unaweza kutusaidia hayo mabwawa hata kwa picha tu hapa ingekuwa njema sana!
Ni wengi tuna mawazo hayo ila changamoto kama hizo!
Tusaidie mkuu tufaidi wote kama hutojali
Mimi ilitokeaga hivyo nikawapa safar lager .wakapona kabisa.fanyia utafiti kwanza huenda ukawasaidia na wako
Kwa tiba ya ugonjwa wa ndui iliyomujarabu tumia vdonge vya PEN V.chukua vidonge 5 na weka kwenye maji ya Lita 1 wape wanywe ck nzma yakiisha ongeza.Wapake mafuta ya Samli ya ng'ombe kwenye macho. kisha changanya Samli na Pumba au mahindi. Hyo nayo ni nzuri kwa ndui.
Hio atumie vidonge vya pen v.hio ndo kiboko take.ndan ya ck 3 tu utaleta mrejeshohata mimi nafuga kuku waliwahi kuugua huo ugonjwa cha muhimu ni watenganishe na kuku wazima,kisha wakwangue hayo madude ukishafanya hivo chukua maji ya vuguvugu uliyochanganya na chumvi paka mle ulimowakwangua ukimaliza hapo wapake dawa inaitwa ocucycline fanya hivo kwa mda wa week mbili utaniambiaa
Mbona kuhusu pond nayo ni rahisi tu. Unaweza zungushia mabanzi au wire mesh kote na mlango kabisa, hapo mtoto haingii.Niliwahi kuhudhuria hilo darasa la ufugaji wa samaki,sema mpaka Leo naona kuna ugumu kwangu kuyafanyia kazi mafunzo Yale hasa ninapofikiria kujenga Fish pond hapa nyumbani wakati nna watoto wadogo,naongopa kusababisha kilio Mkuu, wishing you Good luck katika mradi wako mpya
Mkuu acha utani basiMimi ilitokeaga hivyo nikawapa safar lager .wakapona kabisa.fanyia utafiti kwanza huenda ukawasaidia na wako
Kwa ufahamu wangu....kuju wangu wamewahi kupata hiyo shida.....nilisoma soma kwenye articles nyingi nikafahamishwa kuwa wamekosa vitamins baadhi kwenye mwili....solution ilikuwa kuwapa majani ya aina nyingi kwasababu yana vitamins...eg majani ya papai,mchicha,cabbage,nyanya,viazi,etc...majani yote ambayo kuku hula...baada ya wiki niliona tofauti....na sasa wamepona kabisa!Yapata wiki sasa nahangaika na tatizo la Kuku kuvimba macho na kuwa vipofu kabisaa mpaka sasa ni Kuku 22 ndio wamepatwa na tatizo hilo, nimewahamisha banda kabisa ili wasichangamane na Kuku wengine wakaleta maafa zaidi nimeshajaribu kutumia antibiotics mbali mbali kama Piperazine citrate, sevin , Akheri powder kuwatibu lakini wapi yaani tatizo liko palepale kinachoniumiza zaidi hawa Kuku walishaanza kutaga na wengine ndio wanaelekea kuanza kutaga.
Kama kuna wataalamu humu naomba msaada wa cha kufanya maana mambo yanakua magumu sasa,hii ndio biashara pekee ambayo hakika haikuwahi kuniangusha sasa kama nitaanguka kwenye hii Nayo miti yote itakua inateleza kwangu hivyo chini nitaanguka
Shukrani kwa elimu hiiKwa ufahamu wangu....kuju wangu wamewahi kupata hiyo shida.....nilisoma soma kwenye articles nyingi nikafahamishwa kuwa wamekosa vitamins baadhi kwenye mwili....solution ilikuwa kuwapa majani ya aina nyingi kwasababu yana vitamins...eg majani ya papai,mchicha,cabbage,nyanya,viazi,etc...majani yote ambayo kuku hula...baada ya wiki niliona tofauti....na sasa wamepona kabisa!