Kutenganisha Roho na Mwili, Jinamizi/ Majinamizi

Mimi siwezi kuenderea kuongea zaidi mkuu Ila kila MTU na umaskin wake wa roho watu wanadhan natania kama nipo kiutani kunafaida gani in kuacha wafu wazike watu wenzao kuna watu hawajui ndani ya astral projection unawezaje kutengeneza mnyama Mimi sitaongea chochote maana maelekezo yangu yanaonekana ya kizushi nilikuta mnadanganyana mnatishana ila nikaona kwakuwa Mimi no mzoefu niwape soma yaani nikama namfundisha fisi kulima shamba japo kiwa yeye anawaza mizoga 👍
 
Mimi siwezi kuenderea kuongea zaidi mkuu Ila kila MTU na umaskin wake wa roho watu wanadhan natania kama nipo kiutani kunafaida gani in kuacha wafu wazike watu wenzao kuna watu hawajui ndani ya astral projection unawezaje kutengeneza mnyama Mimi sitaongea chochote maana maelekezo yangu yanaonekana ya kizushi nilikuta mnadanganyana mnatishana ila nikaona kwakuwa Mimi no mzoefu niwape soma yaani nikama namfundisha fisi kulima shamba japo kiwa yeye anawaza mizoga 👍 nyie endeleeni kujikaanga baadae MTA ungua tu
 
Hapo kwenye roho kubaki bila mwili nina wasi wasi kidogo
Maana roho haina kibali cha kukaa duniani bila mwili
Yule mtu alivyo tolewa mapepo yakaomba, narudia yakaomba yakawaingie nguruwe wakapewa kibali na Yesu, why? Jibu ni hawawezi kuwepo duniani bila nyumba ya kukaa ambayo ni mwili, wale nguruwe waliona hii sio sahihi wakaenda kwenye maji na kufa, yale mapepo yakaingia kwa wanakijiji wakamfukuza Yesu
Nauliza roho inaposhindwa kurudi kwenye mwili wake inakuaje?
Mshana Jr
Yaani kinachoongelewa hapa ni elimu ya uchawi!
Shetani muongo! Yaani mambo ya rohoni(ulimwengu wa roho) wameyatafutia namna fulani hivi...

Aisee hatari sana!
 
Mimi nilisumbuliwa Sana na hi kitu, hata baba yangu, Hadi nikadhani Ni majinamizi ya kutithi, Hadi pale nilipogoogle na kusoma kuhusu sleeping paralysis, na nikamwambia mzee wangu tatizo Ni tunalala tumbo juu, tuwe tunabadilisha pozi, Mimi Hadi Leo huwezi Nikita nimelala tumbo juu Mana najua tu ntapata paralysis,
Sasa hatua za mwanzo ndio hiyo unahisi kukabwa na kukosa pumzi, ila nilipofikia Mimi najiona nipo macho kabisa, sikabwi, lakini siwezi kufanya kitu, wakati mwingine najaribu kujitingisha hata kushika vitu vulivyo mezani pembeni ya kitanda, ila nikiamka baadae najikuta hata vile vitu sijavishika, japo ninabiona kwamba vipo.
Hi kitu Hadi Mimi mtu wa kawaida nisie na ujuzi nayo ninaexperience kitu hicho, basi nadhani Ni kweli Kuna went uwezo was kuicontrol na kuinuka na kwenda popote kiroho, happy Mimi sijaweza kuinuka bado, nashika tu vitu vilivyokaribu yangu
Suala la majinamizi siungi mkono, haya sio majinamizi, Ni Hali tu ambayo ipo na wanasayansi wanaielezea, kwamba unaparalayse usingizini, na Ni misuli ndio inaparalayse,
Anza kuomba Mungu kabla hujalala uone km hiyo hali itaendelea!
 
Swala la jinamizi ni pale unapolala usingizi mzito kisha ubongo unazima baadhi ya nervous za movement au unapalalaizi kwa muda huo kuepusha movement unapopitia njozi za mikiki mikiki ivyo mwili wako hautaweza kusogea,

Ivyo basi ubongo unaweza ukaamka kwa ghafla alaf ukazisahau kuziamsha nerves ivyo kiakili unakuwa umeshaamka lakin ubongo bado haujaamsha nervous za whole spinal ivyo unabaki umepararaiz kwa sekunde chache adi nerve nazo ziamke
Hahahaaaaa ety ubongo unawahi kuamka kabla ya nerves 😆😆😆

Huna nguvu za kiroho, ndio maana unakabwa na roho zinazotangatanga.
 
Mimi siwezi kuenderea kuongea zaidi mkuu Ila kila MTU na umaskin wake wa roho watu wanadhan natania kama nipo kiutani kunafaida gani in kuacha wafu wazike watu wenzao kuna watu hawajui ndani ya astral projection unawezaje kutengeneza mnyama Mimi sitaongea chochote maana maelekezo yangu yanaonekana ya kizushi nilikuta mnadanganyana mnatishana ila nikaona kwakuwa Mimi no mzoefu niwape soma yaani nikama namfundisha fisi kulima shamba japo kiwa yeye anawaza mizoga 👍
Unachafua huu uzi tu.

Haya tumekubali unajua na unanguvu nyingi sanaaaaa.
 
Kuna muda unaweza lala vizuri, ghafla ukaamka na usiweze kusogeza hata kidole...

Ukihangaika kwa muda alafu kuna kitu kinafanya kama kukuachia... ndiyo unaweza kuamka sasa...
 
New
 

Attachments

  • FB_IMG_16167797455799296.jpg
    FB_IMG_16167797455799296.jpg
    16.5 KB · Views: 7
  • FB_IMG_16167754992575429.jpg
    FB_IMG_16167754992575429.jpg
    28.9 KB · Views: 9
  • FB_IMG_16166980213169210.jpg
    FB_IMG_16166980213169210.jpg
    26.1 KB · Views: 7
  • FB_IMG_16166978741736837.jpg
    FB_IMG_16166978741736837.jpg
    28.4 KB · Views: 7
Kuhusu majinamizi nimejaribu kupitia kwanza baadhi ya nyuzi humu, lakini zote naona zikieleza kwa kukosea bila kuwa na ukweli hata kidogo.

Ili kwenda sehemu na usionekane kwa macho ya nyama, hutumika njia hii ya kwenda na roho peke yake na kuacha mwili.
Nikiongelea kutenganisha Mwili na Roho sizungumzii kifo.

Unawezaje kutenganisha Roho yako na Mwili wako?

Kuna maneno mengi hutumika kuelezea jambo hili ila nitatumia maneno ya kawaida.

Iko hivi hatua zake:
Kwanza lazima kutafuta chumba kisicho na usumbufu yani utulivu wa kutosha, kisha kupanda kitandani na kulala pozi ambalo utaweza kulistahimili kwa Muda mrefu, hutakiwi kujitikisa hata kidogo, hata ukiwashwa hutakiwi kujikuna.

Lengo ni kutaka kuudanganya mwili kua umesinzia, lakini hutakiwi kusinzia akili/nafsi/roho yako inatakiwa kujua nini unataka kufanya.
Utalala hivo kwa masaa kuanzia Matatu na kuendelea na ndipo mwili wako utatambua kwamba umesinzia na kumbe wewe umejilaza tu, (Japo wengine huweza kufikia hatua hii kwa msaa machache tu). Ndipo kuna kemikali/nyongo fulani huachiliwa mwilini, ili kuufanya mwili kuwa Paralysis - (Complete loss of muscle function)

Ndipo utaamua kuamka, utafanya kuamka kwa kawaida tu kwa step na kusimama pembeni ya kitanda.
Utajionea mwili wako umeuwacha kitandani na kusimama pembeni.

View attachment 1699399
View attachment 1699400

Ndio utaweza kusafiri kiroho, utaweza kupita mahala popote hata kwenye ukuta. Na pia huta kua ukionekana na macho ya binadamu wa kawaida.

Ukirudi kuingia kwenye mwili wako utatakiwa kurudi na hatua zile za awali na kujiegesha kwa mwili wako ulivyolala, kichwa, miguu na mikono vyote viingie sambamba na mwili ulivyokua.

kisha utajitikisa miguu au na mikono ili kuamka kimwili na kiroho kwa pamoja.

Note:
Endapo mwili wako utatingishwa na kubadilishwa pozi lake pindi ukiuwacha mwili wako kitandani basi huto weza tena kurudi kwenye mwili wako mazima.

Watu watakuja kuzika mwili wako na wewe utabaki kua roho hisio kua na mwili, utakua ukiwatizama binadamu ila wao hawakuoni na hata ukiwasemesha hawawezi kukusikia. Utaweza kuzungumka na kuonana na roho wenzio tu ambao nao pia hawana miili kama wewe hapa duniani.

Jinamizi / Majinamizi
  • Hizi ni roho ambazo hutembea tembea hapa duniani zisizo na mwili
  • Roho za kipepo na roho za watu zilizopoteza miili yao.
  • Roho hizi nyingi hutamani sana kua na mwili na kuyahishi maisha ya kua na mwili basi katika pita pita zao wakikutana na mtu ambae kala pozi moja kajituliza vizuri inakua rahisi wao kumuingia mtu huyo kama roho yake itakua nyepesi haina nguvu yoyote.
Na kawaida roho hizi hushauliana zikiwa nyingi, kama mfano kumi na zikakuona wewe umelala kwenye kochi umetulia roho hizo ambazo ndio majinamizi zitaambizana na kukupima kama wewe unaingilika kwa urahis, basi zitakuja kwa pamoja na kuuvaa mwili wako.

Ndipo utashituka kua umekabwa kiasi cha kushindwa kupumua vizuri, kujisogeza wala huwezi kutoa sauti kabisa na baada ya sekunde chache majinamizi hayo ukuachia, huwezi kuyashinda nguvu kwani yanakuwa mengi, kwani hadi yanakuingia yanaona kabisa huwezi kuyababahisha kitu. Si majini yanayokuja kwa kazi fulani na wala hayana adhari nyingine yoyote.

Kwahiyo mazingira ambayo majinamizi upita pita sana ndio na watu hukabwa sana.

Kuepuka majinamizi
~Ukijiegesha sehemu akikisha uwe unajitikisa tikisa kidogo hata kidole au kubadili pozi la kujilaza.
~njia pekee ya kuepuka zaidi ni kutafuta nguvu za rohoni.
Mkuu nimejalibu kupitia Uzi wako ila mkuu bola ukazungumza kitu ambacho ushakifanya.tatizo nyie mnasoma vitu ambavyo tayar watu walivisoma sehem waka wapa na nyie mka copy Mimi ni mtz wenzako kwa hivyo kitu ambacho nakielewa natakiwa niwaelezee ila kama mtashidwa kuelewa tutatumia biblia ulimwengu wa ndoto upo tofauti na wa roho kingine hakuna majinamizi (hii kitu siwez kuielezea kwa sasa jinsi gani mtu anahisi amekabwa na pengine kushindwa kupumua hii IPO nje na mada) kingine sio watu wote hii inawatokea IPO siku mtagundua kwa nini. Kama unajua unamoyo mdogo unatakiw ukaushe
SWALI
kama wewe ni moja wa watu walio fanikisha astral projection kitu gani uligundua?
02.uliona nini?
03.kipi ulipaswa ufanye
04.nani ulimwona
 
Mkuu nimejalibu kupitia Uzi wako ila mkuu bola ukazungumza kitu ambacho ushakifanya.tatizo nyie mnasoma vitu ambavyo tayar watu walivisoma sehem waka wapa na nyie mka copy Mimi ni mtz wenzako kwa hivyo kitu ambacho nakielewa natakiwa niwaelezee ila kama mtashidwa kuelewa tutatumia biblia ulimwengu wa ndoto upo tofauti na wa roho kingine hakuna majinamizi (hii kitu siwez kuielezea kwa sasa jinsi gani mtu anahisi amekabwa na pengine kushindwa kupumua hii IPO nje na mada) kingine sio watu wote hii inawatokea IPO siku mtagundua kwa nini. Kama unajua unamoyo mdogo unatakiw ukaushe
SWALI
kama wewe ni moja wa watu walio fanikisha astral projection kitu gani uligundua?
02.uliona nini?
03.kipi ulipaswa ufanye
04.nani ulimwona
Hakuna unacho kijua kaa kimya na vikatuni na vipicha vyako ya kudowload kwenye mtandao 😂😂
 
Hakuna unacho kijua kaa kimya na vikatuni na vipicha vyako ya kudowload kwenye mtandao 😂😂
Kwani yesu ambae yupo kwenye picha yule no yesu Haris au mfano
Na hizo picha zinaonyesha mfano wake ndo maana zikaundwa
 
Sikupingi kabisa.
Sleeping paralysis hutokea kwa kila Binadamu anapokua usingizini.

Swali linakuja kulala chali na sleeping paralysis zinaungana vip na kuleta dalili hizo zingine zote ???

Kufupi ni kwamba, Kulala chali ndio pozi pekee majinamizi yanaweza kukuingia kwa urahisi na kisha kukuachia tofauti na aliyelala kifudi fudi.

Ndio maana unaona hata kwa wale wanao Tenganisha mwili na roho mala nyingi ulala chali na kisha kuja kuamka kiroho na kuacha mwili.
Nani kakulisha matango poli
 
Tulia wewe nimeisha kwambia hakuna unacho kijua wewe Zero brain.
Kwani yesu ambae yupo kwenye picha yule no yesu Haris au mfano
Na hizo picha zinaonyesha mfano wake ndo maana zikaundwa
 
Nadhani bado hamjaelewa astal projections ni nini
Astral projection ni ile hali ya mtu kutengana na mwili wake kimawazo pili katika ulimwengu wa ndoto hakuna majinamizi kuna loho chafu Mara nyingi loho hizi chafu utaziona pale inapotokea vita kati ya malaika na hao loho wachafu vita hivi huwa ni vikubwa sana utakapo ona vita hiyo unatakiwa uondoke maana utakuwa na uwoga mwingi sana .utaweza kutarii katika sehemu mbalimbali ila katika vitu vyote mwanadamu ananguvu kubwa sana kuliko majini Ila mpaka kipindi utakapo jua kuzitumia kwa sababu astral sio kwenda kutarii tu kunakujifunza vitu vingi.kuhusu mtu kumwona marehem au mtu aliewahi kufa ni ngumu sana labda utumie meditation ili roho yake uiite nayo itakuja ila by using astral mpaka uwe mzoefu sana lasi hivyo hutoweza
.kuhusu swala la mtu kuja kukutikisa alafu ufe kwakweli haiwezekani labda uwe ndo siku uliyo pangiwa msiwe waoga nyie ndio wajenzi wa hii dunia ukifanikisha utajifahamu wewe ni nani na unatakiwa ufanye nini.kuhusu swala LA kufanya miujiza ni ngumu labda uwe unafanya meditation kwa kutumia astral inawezekana ila usizuru watu au kuzionyesha maana nguvu hizi ni kubwa sana hazina kiwango mfano kufaham mambo yanayokuja mbeleni kubwa na speed like the flash or sonic ,macho kuwa yanatoa mwanga, mikono kuwa na nguvu zisizo za kawaida, na kuwa na nguvu za kuelea angani,kupoterea (teleport), kuwa mbunifu,kuwa na uwezo wa kuponya jeraha na isibaki hata alama ndani ya sekunde moja ukiwa na nguvu majini wala wachawi hawata kusogerea nguvu ya mwisho kabisa ambayo hata ufight vipy kuipata tz ni kumfufua marehemu hii mungu anajua siri pekee hata maraika ukiwauliza watakwambia hii huruhusiwi kuifahamu maana itatumika vibaya kama baadhi ya wanadam wanaoitumia nguvu hiyo kwa kutumia majini sio jambo zuri kabisa maana kuna baadhi ya majini ambao mungu aliwapa nguvu za kuamsha wafu na hata baada ya kufukuzwa mbinguni waliachiwa nguvu hizo ingawa sio kwa kiwango kikubwa ni kwa kiwango kidogo sana na baadhi walinyang'anywa kabisa nitaendelea kuwajuza mengi zaidi ingawa kuna watu mnakata tamaa baada ya kuongopeshwa kwa maneno ya watu pia kuna wengi mlijalibu hamkufanikisha wengine mlijalibu mkahisi kiu mkameza mate kuna baadhi uzalendo uliwashinda mkajigeuza ASANTENI SANA TUTAKUTANA KWA AJIRI YA MAFUNZO ZAID
Hii mada niliwahi sikia mtu akielezea, lakini bado kiu yangu haikatiki maana natamani kujua zaidi bahati mbaya hawaelezi kiundani zaidi.sasa naomba anijibu maswali yangu.
1.je ili niwe na nguvu kama vile kuona yanayokuja na kuonana na wafu maana mama yangu alifariki miaka kadhaa na natamani kusikia chochote kutoka kwake napaswa kufanya nini?
2.je ni kweli inaweza tokea nafsi ikashindwa kurudi kwenye mwili totally?
3.nitajuaje moyo wangu ni mdogo ili kujaribu kufanya zoezi hilo?
4.je kuna madhara yoyote yanayoweza kujitokeza pindi nikiwa katika hali hiyo?.natanguliza shukran.
 
Hii mada niliwahi sikia mtu akielezea, lakini bado kiu yangu haikatiki maana natamani kujua zaidi bahati mbaya hawaelezi kiundani zaidi.sasa naomba anijibu maswali yangu.
1.je ili niwe na nguvu kama vile kuona yanayokuja na kuonana na wafu maana mama yangu alifariki miaka kadhaa na natamani kusikia chochote kutoka kwake napaswa kufanya nini?
2.je ni kweli inaweza tokea nafsi ikashindwa kurudi kwenye mwili totally?
3.nitajuaje moyo wangu ni mdogo ili kujaribu kufanya zoezi hilo?
4.je kuna madhara yoyote yanayoweza kujitokeza pindi nikiwa katika hali hiyo?.natanguliza shukran.
Hamja jibu hapa
 
Hamja jibu hapa
Mimi muandishi wa huzi huu nimeandika kujarbu kutoa siri za wanaojifunza uganga na faraki,
Mimi ni mtumishi wa Mungu.

Nguvu pekee ninayoweza kumfundisha mtu niya kiMungu kutoka kwenye bible.

Ila ukitaka ukayafanye hayo, ni kwenda kujifunza uganga na faraki au uchawi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom