Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,925
Waungwana kutendwa hakuzoeleki kbs hata kama iwe mara ya 100,kama kweli unakuwa upenda kwa that ya oyo kamwe ukiumizwa hutoacha kuumia na maumivu yake wala hayafanani na mengine yoyote,hasa kwa wale wenzangu na mie tusiojua kupenda nusu au ile kupretend ndio basi tena kila ukitendwa inakuwa afadhali na iliyopita!Jamani kuwen wakweli sio vizuri kuliza liza wenzenu kila wakati!