AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
...naam, naam...ila wengine au mimi labda nimejaaliwa roho ya ubishi...hata nitendwe vipi bado nakaji reserve ka kumpenda mwingine...maisha yenyewe mafupi haya, acha tu nitupe karata yangu kumpenda nimpendae,...
...ikitokezea siku naye akanitenda sitaona ajabu sana...maana naamini kabisaa hataweza nitenda kama huyo aliyepita, labda anitoe roho yangu...
Mbu kupenda raha..... Hivo nimekupata..... Yaani people just don't know what they miss...... Hasa ukipendwa nawe, hata ikiwa brief it is worth it!!!