Kutembelea SCOAN

Hatua za kukutana na Mungu:
1. Kuwa msomaji wa neno la Mungu na kulitafakari kila siku.
2. Kuwa mtu wa maombi na shukrani, penda kuomba na kumwambia Mungu shida zako
3. Acha dhambi, dhambi zinakuweka mbali na Mungu. Huwezi kutaka kubarikiwa na kukutana na Mungu wakati huo huo ni mlevi, mgovi, msengenyaji, mwizi wa waume za watu n.k
ANZA NA HAYO UTAKUTANA NA MUNGU HUNA HAJA YA KUPOTEZA HELA KWENDA NIGERIA WALA KUNUNUA MAJI YA UPAKO. MUNGU YUPO KILA MAHALI HATA HAPO ULIPO NI UTAYARI WAKO TU.
BARIKIWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano mmoja nakupa tu, ninayo mengi, mm ni jasiri kupindukia, mwaka Jan 2015 kulikuwa na mchawi mmoja watu walimhisi usiku mida ya saa 9 anafanya uchawi nikiwa likizo huko Arusha, watu waliamka na wakamkamata, mm niliposikia kelele nikaamka pia, nikaenda na track suit, usiku 9:30 hv, alikuwa ana mashanga kibao na unga kajipaka sijuii nini na yuko uchi, nilipiga kibao kimoja akanya haja kubwa full na mkojo juu na akakata network, alipopata fahamu ilikuwa saa 11 asubuhi, nilimuongeza watu walilia naua, basi wakamchukua hajijui hadi polisi..

Acha roho ya uoga uoga.. Utakufa tu siku moja, be the most strongest ever human kwa vyote..!! Tumia akili sana pia Unanielewa..!!

Andaa uzi wa ujasiri na kutokuwa na hofu kisha ulete jamvini kwa faida ya wengi!


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom