Kutembelea SCOAN

Tena makubwa sana.. Una nn? Mbona kama mtu roho yako inakimbia kimbia sana, kuwa jasiri, shupavu, watu wengi wenye matatizo ya hofu wanasumbuliwa na uwoga usio na maana ndani yake.. Kuwa jasiri, hayo matatizo ya kisaikolojia yatakwisha kabisa..!! Sijui kama utanielewa, be strong, acha kuwa weak spiritually..!! Jiamini 100%
 
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano mmoja nakupa tu, ninayo mengi, mm ni jasiri kupindukia, mwaka Jan 2015 kulikuwa na mchawi mmoja watu walimhisi usiku mida ya saa 9 anafanya uchawi nikiwa likizo huko Arusha, watu waliamka na wakamkamata, mm niliposikia kelele nikaamka pia, nikaenda na track suit, usiku 9:30 hv, alikuwa ana mashanga kibao na unga kajipaka sijuii nini na yuko uchi, nilipiga kibao kimoja akanya haja kubwa full na mkojo juu na akakata network, alipopata fahamu ilikuwa saa 11 asubuhi, nilimuongeza watu walilia naua, basi wakamchukua hajijui hadi polisi..

Acha roho ya uoga uoga.. Utakufa tu siku moja, be the most strongest ever human kwa vyote..!! Tumia akili sana pia Unanielewa..!!
 
Hahaha sawa mkuu nakuelewa
Ila sio kuhusu ushirikina kabisaBut sawa ntakua jasiri
Mfano mmoja nakupa tu, ninayo mengi, mm ni jasiri kupindukia, mwaka Jan 2015 kulikuwa na mchawi mmoja watu walimhisi usiku mida ya saa 9 anafanya uchawi nikiwa likizo huko Arusha, watu waliamka na wakamkamata, mm niliposikia kelele nikaamka pia, nikaenda na track suit, usiku 9:30 hv, nilikuwa ana mashanga kibao na unga kajipaka sijuii nini na yuko uchi, nilipiga kibao kimoja akanya haja kubwa full na mkojo juu na akakata network, alipopata fahamu ilikuwa saa 11 asubuhi, nilimuongeza watu walilia naua, basi wakamchukua hajijui hadi polisi..

Acha roho ya uoga uoga.. Utakufa tu siku moja, be the most strongest ever human kwa vyote..!! Tumia akili sana pia Unanielewa..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifuata utaratibu wa coordinator unatumia 4 m hapo nje ya visa!

Lkn ukiomba direct almost 3 m.

Mi nishaenda na coordinators twice,sitaki tena nitakuwa naomba tu mwnywe,online ,najaza questioneer basi nasubiri wanijibu
Mimi sitarajii kwenda mapema ila ni mdau wa damu.wengi tunakwamishwa na nauli.Agnes utafika kabisa .cha msingi ungana nae kwa sela ya kanisa ''distance is not a barrier''

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom