Kutembea na mtu kimahusiano anayekuzidi umri

ALLY NKANABO

Member
Dec 3, 2012
13
3
Hii imetokea sana, hasa kwa wasanii wa jinsia ya kiume wanapokuwa wamefanikiwa katika maisha yao.

Mfano wakina....ni kwanini?
 
kwa sababu wanataka kushare mali zao na wengine kwani what else?
 
Samahan jaman naomba kurudi kweny mada yang kwan kutembea naye kuna madhara yyte, pia upendo ndo unasababisha au ni tama
 
sijaelewa unataka tujadili nini?uhusiano wa kimapenzi kwa kuzidiana umri au wasanii?
 
.....mapenzi hayana umri, ilimradi kati ya hao wapenzi wote wapo 18 yrs and over.
 
sijakuelewa vizuri...km ni mwanaume kuwa na mwanamke aliyemzidi umri ......au ni mwanamke kuwa na mwanaume aliyemzidi umri..

Km ni mwanamke kuwa na mwanaume aliyemzidi umri si mbaya ilimradi asiwe kazeeka sanaaa ambaye hamuwezi hata mkashirikiana ktk suala la kulea..

Kwa mwanamke kuzindi mwanaume pia si mbaya sana japo si vizuri mkazidiana zaidi ya miaka mitano..Mwanamke asimzidi mwanamme ikapita miaka mitano...

Huwa tunasema wale wanaopishana miaka mitano (Mwenye miaka kumi na mwingine anamiaka kumi na tano hao bado tunaita RIKA moja) yaani hata kucheza wanaweza kucheza wote, company zinakuwa moja.......Ikivuka hapo si rika tena....


********************************

Hii imetokea sana, hasa kwa wasanii wa jinsia ya kiume wanapokuwa wamefanikiwa katika maisha yao.

Mfano wakina....ni kwanini?
 
Back
Top Bottom