Kutema mate kwenye mkojo

Kuna wengine tulikuwa tunaimba na kale ka wimbo.
Unakojoa, unatemea mate ulipokojolea kisha unaimba "mkojo sio wangu mkojo wa Shetani, mama angu asivimbe nyonyo avimbe Shetanii"

Ilikuwa ni imani kama imani ile "eti ukienda dukani usiku kunununua chumvi basi usiseme chumvi la sivyo utapotea kwenu wakati wa kurudi
 
Habari wakuu !
Sisi wanaume!
Haha ka tabia ka kutema mate kwenye mkojo nani katufundisha?
Kana maanisha Nini?
Kila nikijiuliza maana yake nakosa majibu ya kueleweka.
Najitahidi nikaache ila najikuta mulemule !
Hebu tujuzane na mwanzilishi wake Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na uzee huo ulionao bado unafanya hivyo? Aisee, halafu hata sikusoma Uzi 😂 me nilitiririka na title tu
 
Kuna wengine tulikuwa tunaimba na kale ka wimbo.
Unakojoa, unatemea mate ulipokojolea kisha unaimba "mkojo sio wangu mkojo wa Shetani, mama angu asivimbe nyonyo avimbe Shetanii"

Ilikuwa ni imani kama imani ile "eti ukienda dukani usiku kunununua chumvi basi usiseme chumvi la sivyo utapotea kwenu wakati wa kurudi
Hiyo ya chumvi nilijaribu lakini sikupotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka
Kuna wengine tulikuwa tunaimba na kale ka wimbo.
Unakojoa, unatemea mate ulipokojolea kisha unaimba "mkojo sio wangu mkojo wa Shetani, mama angu asivimbe nyonyo avimbe Shetanii"

Ilikuwa ni imani kama imani ile "eti ukienda dukani usiku kunununua chumvi basi usiseme chumvi la sivyo utapotea kwenu wakati wa kurudi
Umenipita miaka lama 2
 
Mtoto mdogo lakini una mambo ya kishirikinaa
 
Na kwa wale ambao kila wakikojoa lazima wakate uzi(pyuuuuu) hio wataalam wa hali ya hewa wanasema ni 'mvua haiwezi kunyesha bila ya radi'.

Asante kwa kunisikiliza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom