Kutekwa kwa Roma: Wasanii na familia ya Roma wafanya mkutano na wanahabari

Huyu Roma Mkatoliki, hivi Kanisa Katoliki lisaidie japo kwa maombi na kuiomba serikali imatfute na itowe maelezo, maana huyu kijana anaonesha analipenda sana kanisa lake. Inabidi nalo lirudishe mapenzi.

cc Kadinali Pengo.
Kanisa katoliki haliendeshi kama kanisa la Gwajima!..
Usije ukadhani Pengo ni sawa na Gwajima!
Kanisa katoliki lina taratibu zake za kufanya juu ya waamini wake wanaopatwa na majanga yanayofanana na haya!
Kanisa katoliki siyo la kutafuta kick kwenye media na mitandao!
 
Mijitu mingine bwana hivi huyo Roma in nani has a nchi hii mpaka atekwe??OK katekwa siwaende polisi??kwa waandishibwa habari inawasaudia nini hasa ??machizi tu hayo
Roma ni msanii katika nchii hii
Hao ni wasanii wameungana kupaza sauti zao ili vyombo vyenye dhamana na usalama vifanye kazi yao...hao waandishi wa habari wameenda kufuata habari
 
Mijitu mingine bwana hivi huyo Roma in nani has a nchi hii mpaka atekwe??OK katekwa siwaende polisi??kwa waandishibwa habari inawasaudia nini hasa ??machizi tu hayo
Acha kukurupuka na akili za Kibashite, familia imezunguka vituo vyote vya polisi, pia huyo Roma sio kuku ndiyomaana akipotea lazima Tanzania na dunia ijulishwe kusaidia kutoa taarifa yoyote itakayowezesha kupatikana kwake kwasababu Tanzania matukio haya yamejitokeza sana na wengine kama Bensaanane wamepotea milele kimzaa-mzaa naubashite-bashite kama huu unaoleta hapa.
 
Tanzania ni moja kusiwepo chuki ya aina yoyote baina yetu tusingize mambo haya na utofauti wa kisiasa zetu ni jambo baya sana pia tuiamini serikali yetu kwa mambo yote tusijenge uadui baina tuijenge nchi, kila jambo liachiwe mamlaka husika
 
Back
Top Bottom