Kutekwa kwa Mo Dewji: Aliyepokea zawadi ya bilioni moja soon or later atajulikana

Kadhia ya bilionea kijana imeisha ikiacha maswali mengi kuliko majibu... Hakuna haja ya kuyarudia, yameshajadiliwa sana... Kadhia hii ilikuwa na episodes mbili muhimu
1. Kupotea alfajiri
2. Kupatikana alfajiri

Wengi wameshangazwa na kupatikana kwake. Wanasema hakukuwa na msisimko wowote, wanahisi ni tukio lililokuwa limepangwa... Huu ni mtazamo wao na pengine wana hoja. Wasibezwe..!!!

Langu ni hili
Kwa hali jinsi ilivyo aliyepokea zawadi ya bilioni moja, ndiye huyohuyo kapokea na kikomboleo (RANSOM)... Yani kapiga mbili kwa moja.... Nazungumzia RANSOM kwakuwa familia ilishaweka wazi kuwa nia ya watekaji ilikuwa ni kupata pesa

Ukiachana na mkanganyiko wote kuhusu gari lililotumika, mazingira aliyokutwa na mawasiliano yenye ukakasi na familia kuna kila dalili eneo hilo ndilo lililotumika kupeana zawadi na kikomboleo.. Na watu wa familia ndio walipeleka wenyewe, wakahakikisha ndugu yao yuko salama, wakakabidhi mpunga, wakakabidhiwa ndugu yao Wakaondoka.

Watekaji na mpunga wao wakasogea ufukweni kwenye boat iliyokuwa ikiwasubiri wakasepa zao... Baada ya hapo yakatengenezwa mazingira ya kupatikana kwake...

Je, watekaji hawakupewa pesa bandia? Ama pungufu?

Hapa familia inakuwa imeshaonywa kitambo kuhusu hilo hivyo hawawezi kufanya ujinga... Pili watekaji huwa na informers wanaowapa habari zote, hivyo tunaamini kila kitu kilienda sawa..

Kadhia hii imeisha kwakuwa mateka kapatikana, lakini kuna episode 3, ambayo ndio tamu zaidi.

Kuna mengi yamefichwa na wahusika, lakini tabia ya binadamu yoyote hawezi kukaa na siri milele.. Kuna siku koromeo litamuwasha ataropoka

Pesa nyingi ya chap chap ina hulka moja.. Kutapanya... Katikati ya ukata huu kuna watu wataanza kuporomosha majumba na kununua magari ya kifahari.. Pesa itaongea tuu.. Watafanya ya ulimbukeni mpaka watajulikana

Dhuluma..! Kwenye kila misheni lazima ihusishe zaidi ya mtu mmoja na kila mmoja huwa na share yake... Kama kati yao kuna ambao hawakuridhika na mgao kuna siku wataongea

Usaliti...! Along the way wahusika baadhi wanaweza kuhitilafiana kwa mambo mengine kabisa, lakini mmoja akaamua kusaliti kiapo cha usiri na kuamua kumwaga mtama kwenye kuku wengi... Mmoja akimwaga mboga mwingine atamwaga ugali.
Patamu hapo...

Ili kuondoa ushahidi ama hofu ya usaliti, wahusika wanaweza kuamua kuwanyamazisha baadhi ya wahusika. Hapa baadhi yao watatoweka ama kukumbwa na vifo vya ghafla... Ikitokea mmoja akanusurika ama akashtukia mpango mapema. Na kuamua kujilipua... Jua kucheleeeee

Jamaa kapatikana sio mwisho ni mwanzo wa episode nyingine kali.... Tuwahi kibaruani tukajenge taifa....!!!
Yule kijana mtumishi wa umma anayetanua mjini hakosi katika hili deal na sasa ana BMW
 
Jamaa kapatikana sio mwisho wa episode,ni mwanzo wa episode nyingine kali...
....haya maneno kuna mtu akiyaona anaelekea maliwato maana sio kwa tambuu zile kama alitoroka kwake

Uliyapatia sana maneno haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wa kilinge heshima kwao.

Tayari maharagwe yashaanza kurukaruka ndani ya chungu

Back
Top Bottom