Kwa sababu madini karibu yataisha tuwape bure?muda sio mrefu watafunga migodi wamevuna sana madini yamebakia kidogo hata leo tukigawana 50% kwa 50%
wazungu akili nyingi
Kwa sababu madini karibu yataisha tuwape bure?muda sio mrefu watafunga migodi wamevuna sana madini yamebakia kidogo hata leo tukigawana 50% kwa 50%
wazungu akili nyingi
Tutakuwepo kwenye bodi na ngazi nyingi za utawala hakuna loss ya uwongo itakayotangazwa.Hiyo ya 50/50 itakula kwetu maana watadeclare loss na kuishia kulipa 50% kwenye mtani wao
Something is better than nothing. Kumbuka tutajengewa smelters itaongeza ajira.Trilion 425 Kodi - Bilion 609
Mategemeo ya Noah yameshuka mpaka hatuwezi Nunua Guta maana bilioni 609 sawa na Us dollar milioni 300 zilizotolewa katika meza ya Mazungumzo kila mtanzania kama ni gawio la Makinikia atagawiwa Tsh.14000
Je inatosha hata kununua Guta???
Wakati sisi tumelala? Kumbuka tutakuwepo kwenye bodi na top officials.Huyo 50/50 ni faida na hasara au siyo? Tusishangae kuanzia sasa wakitangaza hasara kila mwaka.
Trilion 425 Kodi - Bilion 609
Mategemeo ya Noah yameshuka mpaka hatuwezi Nunua Guta maana bilioni 609 sawa na Us dollar milioni 300 zilizotolewa katika meza ya Mazungumzo kila mtanzania kama ni gawio la Makinikia atagawiwa Tsh.14000
Je inatosha hata kununua Guta???
muda sio mrefu watafunga migodi wamevuna sana madini yamebakia kidogo hata leo tukigawana 50% kwa 50%
wazungu akili nyingi
MiCCM ni miqumer sana wala haiwezi kuliona hilo.Napenda kumshukuru Mh Rais wetu Dr John Magufuli kwa ujasiri katika kutetea maslahi ya Taifa kupitia rasilimali madini, aidha, nimefuatilia kwa makini hotuba ya Mwenyekiti wa kampuni ya uchimbaji madini yaani Barrick Gold Mine Coorparation Prof John Thornton ni mjanja kupita kiasi pamoja na kutoa sifa lukuki kwa Mh wetu Rais Dr Magufuli kuhusu mfumo wa kibiashara wa karne ya 21 na ndio mfumo unaopaswa kuigwa na dunia nzima hayo maneno nimeyafikiria mno, huu ni ujanja mpya wa kisheria wa kutaka kutusumbua na kutuibia katika karne ya 21 ,Acacia ama Barrick bado wana nafasi sana ya kudanganya katika faida watakayopata na kupiga mahesabu ya kupata hasara au faida kiduchu, suala la asilimia 50 kwa 50 lingewekwa kama umiliki wa hisa kwa pande zote badala ya kuweka 50% kwenye kugawana faida accacia bado wametuachia kiini macho umiliki wa hisa mdogo wa 16% wataalamu wetu pia wajaribu kuliona hilo kwenye awamu ya pili ya majadiliano kuhusu umiliki,kugawana faida na hisa.
Tutakuwepo kwenye bodi na ngazi nyingi za utawala hakuna loss ya uwongo itakayotangazwa.
Nimecheeka, aisee. Sawa mkuuKama trillion 421 tumepewa 700B, hiyo 50% tutapewa shilingi ngapi? cross multiplication.
We aaaa dilingi wisi yuu bariki, aaaha nilicheka sana hatutaki Kongo longo we are dealing with mmmmh kweli ukishikwa masikio shikika hivi mkimaliza hii series inafuata ipi?Wote mnaoandika Acacia ni washamba na malimbukeni. Jana ni juu ya Barrick Baba lao..
Mnatia aibu kama vile hamkusoma kupitia elimu ya nchini hapa haswa bali kupitia hewani hukooo..
Inakuwaje mnaboa kwa kukosa umaarifa wa kusaka zaidi.. yaani mnapenda kukimbilia kuandika bila kutumia fikra hata mkafanya uchambuzi wenu. Hamchoki kujitia aibu! Na ndio maana 2020 msahau kabisaaaaaa
Huo mtazamo wako ni finyu na hatimaye mfu.Napenda kumshukuru Mh Rais wetu Dr John Magufuli kwa ujasiri katika kutetea maslahi ya Taifa kupitia rasilimali madini, aidha, nimefuatilia kwa makini hotuba ya Mwenyekiti wa kampuni ya uchimbaji madini yaani Barrick Gold Mine Coorparation Prof John Thornton ni mjanja kupita kiasi pamoja na kutoa sifa lukuki kwa Mh wetu Rais Dr Magufuli kuhusu mfumo wa kibiashara wa karne ya 21 na ndio mfumo unaopaswa kuigwa na dunia nzima hayo maneno nimeyafikiria mno, huu ni ujanja mpya wa kisheria wa kutaka kutusumbua na kutuibia katika karne ya 21 ,Acacia ama Barrick bado wana nafasi sana ya kudanganya katika faida watakayopata na kupiga mahesabu ya kupata hasara au faida kiduchu, suala la asilimia 50 kwa 50 lingewekwa kama umiliki wa hisa kwa pande zote badala ya kuweka 50% kwenye kugawana faida accacia bado wametuachia kiini macho umiliki wa hisa mdogo wa 16% wataalamu wetu pia wajaribu kuliona hilo kwenye awamu ya pili ya majadiliano kuhusu umiliki,kugawana faida na hisa.
Dada, busara yako inatisha! Jaribu kupangua au kuchangia hoja badala ya kushambulia fikra za Watanzania wenzako ambao kimsingi bado hawawaamini hao wawekezaji.Wote mnaoandika Acacia ni washamba na malimbukeni. Jana ni juu ya Barrick Baba lao..
Mnatia aibu kama vile hamkusoma kupitia elimu ya nchini hapa haswa bali kupitia hewani hukooo..
Inakuwaje mnaboa kwa kukosa umaarifa wa kusaka zaidi.. yaani mnapenda kukimbilia kuandika bila kutumia fikra hata mkafanya uchambuzi wenu. Hamchoki kujitia aibu! Na ndio maana 2020 msahau kabisaaaaaa
Kuna mipumbavu ya CCM inashangilia huku tunapigwaHaitoshi hata kuchepukia chukuchuku.. Yaani direct to ze gesti house ya 15,000/=
Wanalipwa kuandika upumbavuKuna mipumbavu ya CCM inashangilia huku tunapigwa
Yes wenye akili kubwa kama wewe hivi ndio wanavyofikiri,na hapa ndipo tunapoachwa kwenye mataa kama mazuzu,asante kwa kuliona hilo mkuu,Mzungu ni akili nyingine kabisa anajua vema anachofanya ameona asiwe na cha kupoteza alinde thamani ya hisa zake kwenye soko la hisa na zile trilioni 425 ndio zimeyeyuka kimya kimya.muda sio mrefu watafunga migodi wamevuna sana madini yamebakia kidogo hata leo tukigawana 50% kwa 50%
wazungu akili nyingi
Ujue nilikuwa najiuliza sana juu ya hawa watu kwanini wanatetea sana ujinga humu mitandaoniWanalipwa kuandika upumbavu
We mwanamke ni mse.nge sijapata ona dunia hiiWote mnaoandika Acacia ni washamba na malimbukeni. Jana ni juu ya Barrick Baba lao..
Mnatia aibu kama vile hamkusoma kupitia elimu ya nchini hapa haswa bali kupitia hewani hukooo..
Inakuwaje mnaboa kwa kukosa umaarifa wa kusaka zaidi.. yaani mnapenda kukimbilia kuandika bila kutumia fikra hata mkafanya uchambuzi wenu. Hamchoki kujitia aibu! Na ndio maana 2020 msahau kabisaaaaaa
Watanzania tuache maneno maneno yasio na maana, na yaulotoshaji, mtu aongea/anaeleza kama alikuwa kwenye hicho kikao kilichofikia hayo makubalianoNapenda kumshukuru Mh Rais wetu Dr John Magufuli kwa ujasiri katika kutetea maslahi ya Taifa kupitia rasilimali madini, aidha, nimefuatilia kwa makini hotuba ya Mwenyekiti wa kampuni ya uchimbaji madini yaani Barrick Gold Mine Coorparation Prof John Thornton ni mjanja kupita kiasi pamoja na kutoa sifa lukuki kwa Mh wetu Rais Dr Magufuli kuhusu mfumo wa kibiashara wa karne ya 21 na ndio mfumo unaopaswa kuigwa na dunia nzima hayo maneno nimeyafikiria mno, huu ni ujanja mpya wa kisheria wa kutaka kutusumbua na kutuibia katika karne ya 21 ,Acacia ama Barrick bado wana nafasi sana ya kudanganya katika faida watakayopata na kupiga mahesabu ya kupata hasara au faida kiduchu, suala la asilimia 50 kwa 50 lingewekwa kama umiliki wa hisa kwa pande zote badala ya kuweka 50% kwenye kugawana faida accacia bado wametuachia kiini macho umiliki wa hisa mdogo wa 16% wataalamu wetu pia wajaribu kuliona hilo kwenye awamu ya pili ya majadiliano kuhusu umiliki,kugawana faida na hisa.
sawa tu lkn ....kwenye uongozi si kutakuwa na watz kama prof mruma (wafia nchi)...loss itakua loss kweli ...na profit itakua profit kweliKampuni zenyewe hizi zinatangaza hasara kila mwaka. Kwani hata hiyo 3% tulikuwa tunaipata? Si walikuwa wanasema tu kwamba wamepata hasara? Usishangae wakatuambia tuchangie 50% ya hasara waliyoipata kuptia kutolipa kodi kwa sababu sasa hivi tuna ubia wa fifty-fifty.