Amani kwenu bandugu.
Nimependa tushee hii habari.
Katika huu ulimwengu wa smartphones, kati ya picha/video zinazopakuliwa, kutazamwa na kuhifadhiwa sana ni picha na video za ngono.
Hakika zina mvuto wa aina yake haswa kwa watu wa aina yake, lakini sidhani kama watamazaji wanaojifunza jambo/mambo la/ya hatari katika picha hizi:-
KWANZA: Picha/video hizi, kwa kiwango kikubwa, zinaboreshwa kitekinolojia, hivyo hazina ule uhalisia kwa asilimia kubwa. Ni maigizo zaidi ya kufikirika kuliko ukweli.
PILI: Picha/video hizi zina madhara sana kwa saikolojia na mfumo wa akili. Chukulia mfano jinsi maisha/tamaduni ya nje yanavyoharibu mindset za sisi weusi.
Chukulia mfano Soka, Mziki na mavazi ya kigeni vinavyotufanya kudharau vya kwetu.
Vivyo hivyo aina ya picha na video hizo pamoja na ufeki wake, zimechangia sana dharau kwa "faragha zetu", ambapo hata hamu ya tendo la ndoa na furaha yake vimeshuka sana kama sio kupotea kabisa katika mahusiano.
TATU: Picha/video hizi ni mpango wa shetani kuleta "ibada ya uharibifu" kwa watu wa MUNGU, ndio maana kupitia kwa picha /video hizi kufuru zilizokatazwa na misahafu za UFIRAJI, USAGAJI, NGONO NA WANYAMA n.k. vimeendelea kusambaa, kustawi na kukubalika na walio wengi na hata serikali za mataifa.
Yapo mengi yakuzungumza, lakini hakika tunahitaji kutafakari na kuchukua hatua.