Tatizo la kutapika safarini (Motion Sickness)- fahamu chanzo, tiba na kinga ya tatizo hili

Wakuu salamu,

Naomba msaada ni nini kinasababisha mtu kutapika akiwa safarini? Nina kijana wangu kila akisafiri lazima atapike, hata kama sii mgonjwa. Na hiyo imempelekea kutokunywa kitu chochote au kula pindi anaposafiri, ila pamoja na kutokula kitu atatapika maji, shida ni nini? Anaweza kusaidiwaje?

Karibuni
 
Duh naona hali ilivyomtokea kwa mara ya kwanza ndiyo ime adopt, itaacha yenyewe baadae.

Ni kama tu mtu ukinywa pombe kwa mara ya kwanza ukatapika hiyo hali itajirudia ukinywa pombe tena.
 
Mkuu,

Kuna Dawa Ambazo Siyo Rasmi Lakini Watumiaji Wake Wanatoa Shuhuda Kuwa Zinatoa Suruhu Ya Tatizo.
1. Achukue Gazette Atandike Kwenye Seat Yake Halafu Alikalie Hadi Mwisho Wa Safari Hatatapika
2. Achukue Kitambaa Kwaajili Ya Kijifutia Jasho
Hicho Akitemee Mate Halafu Afunge Fundo
Kisha Aweke Kwenye Mfuko Wa Suruali Mwanzo Hadi Mwisho Wa Safari Hatotapika
3 . Achukue Kiberiti Halafu Njiti Moja Wakati Wa Safari Kule Kwenye Baruti Anaweka Mdomoni
Safari Inaendelea Ikiisha Anaweka Nyingine
Mpaka Afike.

Nangoja Mrejesho
Kwenye Hizo Njia Tatu Chagua Uipendayo Mojawapo!!!!
 
Hiyo hali hta mimi huwa inasumbua sana, hasa hada ukikaa pale tairi lilipo, epuka sana kukaa siti za chini ya tairi

1. Hakikisha unatembea na Limao, akisikia hiyo hali analamba

2 . Bublish atafune anapoanza kuhisi hiyo hali
 
Mkuu
Kuna Dawa Ambazo Siyo Rasmi Lakini Watumiaji Wake Wanatoa Shuhuda Kuwa Zinatoa Suruhu Ya Tatizo.
1. Achukue Gazette Atandike Kwenye Seat Yake Halafu Alikalie Hadi Mwisho Wa Safari Hatatapika
2. Achukue Kitambaa Kwaajili Ya Kijifutia Jasho
Hicho Akitemee Mate Halafu Afunge Fundo
Kisha Aweke Kwenye Mfuko Wa Suruali Mwanzo Hadi Mwisho Wa Safari Hatotapika
3 . Achukue Kiberiti Halafu Njiti Moja Wakati Wa Safari Kule Kwenye Baruti Anaweka Mdomoni
Safari Inaendelea Ikiisha Anaweka Nyingine
Mpaka Afike.

Nangoja Mrejesho
Kwenye Hizo Njia Tatu Chagua Uipendayo Mojawapo!!!!
Masharti ya kiganga haya
 
Ajitahidi apambane na hiyo hali iishe vinginevyo kila siku atakuwa anakula makofi safarini kwa kuwatapikia wananzengo.
 
Mkuu
Kuna Dawa Ambazo Siyo Rasmi Lakini Watumiaji Wake Wanatoa Shuhuda Kuwa Zinatoa Suruhu Ya Tatizo.
1. Achukue Gazette Atandike Kwenye Seat Yake Halafu Alikalie Hadi Mwisho Wa Safari Hatatapika
2. Achukue Kitambaa Kwaajili Ya Kijifutia Jasho
Hicho Akitemee Mate Halafu Afunge Fundo
Kisha Aweke Kwenye Mfuko Wa Suruali Mwanzo Hadi Mwisho Wa Safari Hatotapika
3 . Achukue Kiberiti Halafu Njiti Moja Wakati Wa Safari Kule Kwenye Baruti Anaweka Mdomoni
Safari Inaendelea Ikiisha Anaweka Nyingine
Mpaka Afike.

Nangoja Mrejesho
Kwenye Hizo Njia Tatu Chagua Uipendayo Mojawapo!!!!
Hii namba tatu kweli inasaidia mimi nimethibitisha.
 
Mimi ilinisaidia soda ile Sparleta iliyotengenezwa kwa limao. Kila nikisafiri nakunywa chupa moja. Nilitumia kama safari tatu au nne, ile hali ikakata kabisa hadi sasa nadunda fresh tu.
 
Mimi huwa inanitokea tena huwa natoka mpk na jasho kabisa. Ila nimeshaiijulia hainisumbui tena. Before nisafiri huwa naweka Coca kwa freezer asubuhi naitoa, nakuwa nazo 2 moja ineganda na nyingine baridi ya kawaida tu. Huwa nazinywa hizo, pia sikosi chocolate na chewing gum.
Madaktari wanaweza kutuelezea vizuri ila mimi niliambiwa nakuwa na ukosefu wa oxygen kwa ubongo. Na hii husababishwa na low sugar so nikila kitu cha sukari inanisaidia. Cha ajabu hii shida naipata kwenye bus na boat tu ila kwa ndege niko sawa kabisa
 
Wakuu salamu,

Naomba msaada ni nini kinasababisha mtu kutapika akiwa safarini? Nina kijana wangu kila akisafiri lazima atapike, hata kama sii mgonjwa. Na hiyo imempelekea kutokunywa kitu chochote au kula pindi anaposafiri, ila pamoja na kutokula kitu atatapika maji, shida ni nini? Anaweza kusaidiwaje?

Karibuni
Iyo ni motion sickness awe anakunywa hyoscine 10mg anapotaka kusafiri
 
Back
Top Bottom