Kutana na VICTOR: Mtoto wa Baba V

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
70,818
93,489
Haya ndio madhara ya kwenda na VICTOR Makirikiri Bar

Laga.JPG
 
dah yote haya nimadhara ya kumuacha mama v mwenyewe na watoto kule rombo.akakimbilia mjini kutafta vimwana
 
Kinishangazacho ni kwamba hii kamba (uzi) ipo since mornin, hadi milango hii Baba ya mtoto hajatia maguu hapa ku'confirm kua ni kweli kijana husika ni kojo lake! Ama laa.
Si kama tulivyomzoe hufika haraka kunako nyuzi zihusuzo familia yake.
Kama alivyotia maguu fasta kwenye kamba ya kum'confirm Mama v.
 
Last edited by a moderator:

Hawezi kupinga nimeitoa kweye fesibuku yake...tena iliandikwa "with Mama v"
 
Last edited by a moderator:
Hawezi kupinga nimeitoa kweye fesibuku yake...tena iliandikwa "with Mama v"

So far as a matter of fact umeona kabisa umuumbue mkubwa mwenzetu katikati ya gulio tena mchana wa saa 6 ?
Ungeonaje ungetutumia hii Srade kwa pm kwa kila mdau pm yake?
 
Last edited by a moderator:
VIATU VYA VICTOR MTOTO WA Baba V

attachment.php
 
Attachments

  • NDALA.jpg
    NDALA.jpg
    17.6 KB · Views: 57
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom