like father like son
Kinishangazacho ni kwamba hii kamba (uzi) ipo since mornin, hadi milango hii Baba ya mtoto hajatia maguu hapa ku'confirm kua ni kweli kijana husika ni kojo lake! Ama laa.
Si kama tulivyomzoe hufika haraka kunako nyuzi zihusuzo familia yake.
Kama alivyotia maguu fasta kwenye kamba ya kum'confirm Mama v.
Hawezi kupinga nimeitoa kweye fesibuku yake...tena iliandikwa "with Mama v"
like father like son